JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Nimekuwa nikijiuliza hili lindi kubwa la wanawake kutembea na wazee, wazee ambao ni sawa na baba/babu zao, mwanamke anapata raha gani kuwa na mzee, kwanza nguvu hana na pia hata kuonekana naye nia aibu kubwa. Ikanibidi nifanye utafiti na nimekuja na haya majibu:
1. wazee hawana muda wa kuwabana hawa dada zetu, maana mzee ana familia yake, hivyo mwanamke kuwa huru na boyfriend wake muda mwingi isipokuwa nyakati chache za kuwa na zee lake, hata kugundua mwanamke wako yupo na mzee ni ngumu sana. Na kwa kuwa wanawake wanapaenda uhuru wa kufanya mambo yao, basi wazee ndo wamekuwa kimbilio lao.
2. wazee wana pesa, si unajua walishatafuta muda mrefu na sisi vijana ndo kwanza tunahangaika, wazee tayari wamemaliza kusomesha watoto wao, wana majumba na tayari walishawekeza vya kutosha, sisi vijana ndo kwanza tunafukuzana na hela ya kununua japo ka kiwanja mabwepande, bado kujenga, watoto kwenda shule, mke kumtunza na mengine.
Kwa changamoto hizo vijana tuna kazi kubwa kukabiliana na huu uasi wa wazee wetu.