Kwa mabinti wote wa mwanza mjini (the rocky city) mi natafuta msichana mwenye hipsi kubwa ili nitoke nae siku ya wapendanao ili anipe kampani pesa ya kutumia ipo tutakula kuku kunywa bila shida...
Wanajamii naombeni ushauri...mpenz wang hanijali tena as hakuna mawasiliano ya cm wala ya ana kwa na tuko mkoa mmoja ...anadai yupo bzy na kazi.tulikuwa na mipango mingi tu ikiwemo kutambulishana...
"Upendo wa kweli huvumilia, hufadhili, hauhusudu, hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na...
Ex-GF wangu alipoolewa mwaka 2010 desemba nilileta thread hii hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/94798-ex-gf-wangu-kaolewa-jana.html.
Watu walininanga na kunisuta sana...
Ndugu yangu Mzazi/Mlezi, je, mwanao/wanao ratiba yao ya kila siku ikoje kuanzia wanapoamka asubuhi hadi muda wa kulala usiku. Napenda tuongelee watoto kuanzia umri wa Nursery School mpaka...
Kwa wale wote wapendanao ,napenda kuchukua nafac hii kuwatakia valentine njema,uwe pia ni wkt wa kutafakari uelekeo wa mahusiano yenu na c kuishia kula dinner na kufanya ngono!km ww ni mtt wa kike...
Kutokana na maoni ya wanajamvi, nimeamua kuchukua hatua nyingine kabisa. Mimi ni kijana wa miaka 21 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
1.Awe mcha Mungu(mkristo)
2.Asiwe Mpenda Pesa Wala...
Wataalamu wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa penye penzi la kweli hakuna usiri.Mtaficha wee mwisho wa siku watu watajua,ila mkiona mmefanikiwa kuwafanya watu wasijue kwamba nyie ni wapenzi basi...
Habari zenu wana MMU.
Dada yangu anaolewa weekend hii sasa nimeshindwa kumchagulia zawadi gani nimpatie inayomfaa ktk harusi yake. Naombeni ushauri wenu wana MMU ipi itakuwa bora zaidi kwake...?
Hivi ni haki kwa mwanamke kuzaa na John halafu anaolewa na Joseph then unamwita mtoto Robati Joseph hadi shuleni? na Joseph akikuacha utambadili tena jina la baba?
Habari zenu wana MMU
Mm nina nina moja tu yaan kuna wadau wametoa maua wengine zawadi watu wapeane cha kushangaza kama maua watu wamegawana yote yameisha wengine wamepata zaid ya mawili
Mm had...
Habari za weekend wapendwa wa JF!
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,najiona natofautiana kimtazamo na wanawake wengi hapa duniani.
1. Wanawake wengi hawapendi kuadhibiwa na waume zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.