MREMBO WA AFRIKA
Member
- Feb 6, 2014
- 65
- 17
Wanajamii naombeni ushauri...mpenz wang hanijali tena as hakuna mawasiliano ya cm wala ya ana kwa na tuko mkoa mmoja ...anadai yupo bzy na kazi.tulikuwa na mipango mingi tu ikiwemo kutambulishana kwa wazaz na kuanza mipango ya ndoa mapema mwaka huu but nnachokiona ni kinyume chake.ikitokea akapokea cm yangu bas hujibu nimsubiri hana mtu mwingine.....je niendelee kusubiri?? Naomba busara zako.