Papaa Tony
Member
- Aug 21, 2013
- 65
- 48
Kutokana na maoni ya wanajamvi, nimeamua kuchukua hatua nyingine kabisa. Mimi ni kijana wa miaka 21 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
1.Awe mcha Mungu(mkristo)
2.Asiwe Mpenda Pesa Wala Sifa Za Kijinga
3.Awe na umri kati ya 19-20
4.Awe Mchapakazi
5.Awe na upendo kwa ndugu jamaa na marafiki na awe anaejali.
6.Awe mshauri mwema kwangu na asiwe mtu wa kulalamika na kulaumu bila sababu ya msingi.
7.Awe Mcheshi Na Mwenye Tabia Nzuri mpole na mkarimu
8.Awe tayari kuishi na wakurya
Angalizo: iwapo yupo aliye tayari atambue kua ndio tutaanza maisha. pia mwenye sifa za ziada mf. sura rangi nk atafikiriwa.
Maombi mtatuma wengi lakini atakubaliwa mmoja tu.