Kwa wanawake tu naombeni majibu

Kwa wanawake tu naombeni majibu

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
hv inakuwaje mwanamke unamfata mwanamke mwenzio na kumuuliza eti mumeo anafanya kazi gani?hv labda mtu akikujb unafaidika na nini?
 
ningelikuwa mwanamke.. ningejibu hivi

'' hii inanisaidia sana, tena mnoooooo!!! (huku vidole vikiwa juu kama antena za tv za soni!), ntajuaje kama kiasi nnachomchuna kinaendana na kazi anayofanyaaaa.. eeenh! afu baada yapo natoka nduki!!
:hurt:
 
ningelikuwa mwanamke..
ningejibu hivi

'' hii inanisaidia sana, tena mnoooooo!!! (huku vidole vikiwa juu kama
antena za tv za soni!), ntajuaje kama kiasi nnachomchuna kinaendana na
kazi anayofanyaaaa.. eeenh! afu baada yapo natoka nduki!!
:hurt:

ha!haa!@Excel umenchekesha mpaka nimeoneka mwehu.
 
helo heloooo!!!!! (kama kingwendu vileee!! jicho loote nje!! , huku bambataa zikicheza na kuruka hadi shida!!)

all in all if i were a woman!
 
haa haa ww Excel umeingiaje humu...hujaona kibao cha ladies only?

mbona beyonce aliimba if i were a boy? sasa na mimi nasema if i were a woman!

haki sawaaaaa!!!! helo heloooo!! (babaaake lisauti kama la kingwendu!! ta..ko ta..ko!! kanga nusu kiuno!)

but only if i were a woman!
 
na kicheko juu heheheee kaaogee! shida mpe paka mwenye roho sabaaa!!!

but only if u were a woman.
 
hv inakuwaje mwanamke unamfata mwanamke mwenzio na kumuuliza eti mumeo anafanya kazi gani?hv labda mtu akikujb unafaidika na nini?

We mjibu tu bana, kwani mmeo jambazi hadi ufiche???
 
ningelikuwa mwanamke.. ningejibu hivi

'' hii inanisaidia sana, tena mnoooooo!!! (huku vidole vikiwa juu kama antena za tv za soni!), ntajuaje kama kiasi nnachomchuna kinaendana na kazi anayofanyaaaa.. eeenh! afu baada yapo natoka nduki!!
:hurt:

wacha wee hapa pana ukwel uliojificha
 
na kicheko juu heheheee kaaogee! shida mpe paka mwenye roho sabaaa!!!

but only if u were a woman.

umeona eeeenh!!! (kwa sauti ya miriam wa migomba!! mngenikomajeee!! nachukua mumeo mbele yako! afu na nauli unato wewe.. kwenda na kurudi babake!!)
 
wacha wee hapa pana ukwel uliojificha

afu unikome mtoto wa mwanamke mwenzioooo!!!

hili ta...ko halijakuzwa kwa matofali eenh! (huku nikilishika! !!) nyooooo!!!

mmmxxxuuuuuuu!!!! (msonyo wa maana mpaka madirisha yanafungwa na majirani!!)
 
haa haa ww Excel umeingiaje humu...hujaona kibao cha ladies only?

Unajua macho yaexel yanatatizo na unajua miwani yake imeharibika sasa picha ya ledie ya suruari mbano yeye kazani ya genti.
 
Last edited by a moderator:
Labda anamuwakilisha demu wake....

afu na wewe unikome!!! nyoooooo!!! mwanamke gani wewe una kijungu ka umepigwa pasi!!

mxxuuuuu!!!! (afu sauti iko juu ka gari za matangazo yale ya kukatiwa maji!!! utanikoma leo!)

(mmh.. kuwa mwanamke nako ni kazi!! if i were a woman... ningebeba nondo..)
 
Unajua macho yaexel yanatatizo na unajua miwani yake imeharibika sasa picha ya ledie ya suruari mbano yeye kazani ya genti.

weeee!!! mcheki kisuruali kimembana utadhani umeazima kwa mwallu!

mwallu mwenyewe ana kiuno saiz ya sindano!!! we ashaboko!!

heheheeeeee!!! (damit... is this how women behave? iam a good actor kumbe!!)
 
Last edited by a moderator:
afu na wewe unikome!!! nyoooooo!!! mwanamke gani wewe una kijungu ka umepigwa pasi!!

mxxuuuuu!!!! (afu sauti iko juu ka gari za matangazo yale ya kukatiwa maji!!! utanikoma leo!)

(mmh.. kuwa mwanamke nako ni kazi!! if i were a woman... ningebeba nondo..)

mkuu una hatari
 
ningelikuwa mwanamke.. ningejibu hivi

'' hii inanisaidia sana, tena mnoooooo!!! (huku vidole vikiwa juu kama antena za tv za soni!), ntajuaje kama kiasi nnachomchuna kinaendana na kazi anayofanyaaaa.. eeenh! afu baada yapo natoka nduki!!
:hurt:

Hahahahaaaa!! Excel! Kumbe pacha we mshari!
 
Last edited by a moderator:
weeee!!! mcheki kisuruali kimembana utadhani umeazima kwa mwallu!

mwallu mwenyewe ana kiuno saiz ya sindano!!! we ashaboko!!

heheheeeeee!!! (damit... is this how women behave? iam a good actor kumbe!!)

Usiongee kwa jazba hivyo mpaka unapumulia nyuma khaaaa nani ka kwambia utupe miwani?
 
Last edited by a moderator:
afu na wewe unikome!!! nyoooooo!!! mwanamke gani wewe una kijungu ka umepigwa pasi!!

mxxuuuuu!!!! (afu sauti iko juu ka gari za matangazo yale ya kukatiwa maji!!! utanikoma leo!)

(mmh.. kuwa mwanamke nako ni kazi!! if i were a woman... ningebeba nondo..)

Kuwa mwanamke ni raha sana uuuh proud to be a lady....
 
Back
Top Bottom