Je, Mwanao/Wanao umewapangia ratiba ya siku nzima?

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,317
Reaction score
2,881
Ndugu yangu Mzazi/Mlezi, je, mwanao/wanao ratiba yao ya kila siku ikoje kuanzia wanapoamka asubuhi hadi muda wa kulala usiku. Napenda tuongelee watoto kuanzia umri wa Nursery School mpaka Secondary School. Hii itawasaidia wazazi/walezi ambao hawana utaratibu wa kuwapangia wtoto wao ratiba ya kila siku, badala yake wanatumia muda mwingi kuangalia TV mpaka zile Tanthilia za usiku saa 5, hawana muda maalumu wa kulala ila inategemea na muda atakaopata usingizi ndipo alale. Karibu tupeane uzoefu.
 
Kweli Ningependa kuona kama wazazi wanawapangia watoto ratiba za siku, wiki nk...
wenye watoto watiririke hapa...
 
Nadhani the best way ni kumpatia majukumu with deadlines and reward, lakini mambo ya kumuambia mtoto huu ni muda wa kusoma, huu wa kuangalia TV nakadharika utamfanya mtoto ashindwe kutofautisha mazingira ya shule na nyumbani.

Kwa mfano, sina mpango wa kumpangia mtoto wangu ratiba zaidi ya kufanya ifuatavyo.
1. Anawajibika kila siku kunieleza amefanya nini hasa toka tulipoachana.
2. Analazimika kunielezea kila alichokisoma na mimi nitareconcile maelezo yake with his books pamoja na walimu (namzoesha hili from day one ili uko mbeleni asijuchukulia tumeanza kutokuaminiana)
3. I will reward him, at least with a word of encouragement.
 
mtoto wa kiume huwezi mpangia ratiba labda ya kusoma na kulala, wa kike sawa ili asipate muda wa kutekenywa
 
Mtoa hoja anazungumzia watoto... naomba nisisitize tena, WATOTO. Wale wa chekechea na shule za msingi..sasa sijui unaongea vitu gani hapo juu
 
Nursery siku hizi hata mtoto wa miaka miwili anaenda (baby class) kwahiyo kuwa specific na umri. Binafsi naona mtoto wa nursery(-4yrs) ni mdogo sana kupangiwa ratiba, labda ya kula tu. Tena hata hiyo ya kula ni kwa watoto ambao wanasumbua kula ila kama mtoto ni mlaji muache vitu vimjie naturally.

Mwache acheze akichoka anapumzika, akisikia njaa anakula, muda wake ukifika(ratiba aliyojijengea mwenyewe kwa mazoea) analala n.k

Juu ya miaka minne (4+) sasa ndio waweza kumuwekea ratiba ya kulala mchana (maana hawa ndio wanakuwaga wabishi), muda wa kucheza na wenzie/toys, ratiba ya kula (kama sio mlaji), ratiba ya kusoma a,e,i,o,u zake, ratiba ya kuangalia tv (preferbly katuni na vipindi vya kitoto toto), ratiba ya kuoga na ya kulala usiku. Akishazoea baada ya muda itakuwa mazoea.

Mkubwa zaidi ya hapo (12+) mfundishe kuwa responsible bafala ya kumpangia ratiba.
 
watoto wa kike sasa hutekenywa tangu chekechea
 
Nadhani the best way ni kumpatia majukumu with deadlines and reward, lakini mambo ya kumuambia mtoto huu ni muda wa kusoma, huu wa kuangalia TV nakadharika utamfanya mtoto ashindwe kutofautisha mazingira ya shule na nyumbani.

Kwa mfano, sina mpango wa kumpangia mtoto wangu ratiba zaidi ya kufanya ifuatavyo.
1. Anawajibika kila siku kunieleza amefanya nini hasa toka tulipoachana.
2. Analazimika kunielezea kila alichokisoma na mimi nitareconcile maelezo yake with his books pamoja na walimu (namzoesha hili from day one ili uko mbeleni asijuchukulia tumeanza kutokuaminiana)
3. I will reward him, at least with a word of encouragement.

Asante mkuu kwa maelezo mazuri.
 
Nursery siku hizi hata mtoto wa miaka miwili anaenda (baby class) kwahiyo kuwa specific na umri. Binafsi naona mtoto wa nursery(-4yrs) ni mdogo sana kupangiwa ratiba, labda ya kula tu. Tena hata hiyo ya kula ni kwa watoto ambao wanasumbua kula ila kama mtoto ni mlaji muache vitu vimjie naturally.

Mwache acheze akichoka anapumzika, akisikia njaa anakula, muda wake ukifika(ratiba aliyojijengea mwenyewe kwa mazoea) analala n.k

Juu ya miaka minne (4+) sasa ndio waweza kumuwekea ratiba ya kulala mchana (maana hawa ndio wanakuwaga wabishi), muda wa kucheza na wenzie/toys, ratiba ya kula (kama sio mlaji), ratiba ya kusoma a,e,i,o,u zake, ratiba ya kuangalia tv (preferbly katuni na vipindi vya kitoto toto), ratiba ya kuoga na ya kulala usiku. Akishazoea baada ya muda itakuwa mazoea.

Mkubwa zaidi ya hapo (12+) mfundishe kuwa responsible bafala ya kumpangia ratiba.

Asante Lizzy kwa ufafanuzi wa kina.
 
Alafu akiishazoe ratiba hizo hauoni kama utakuwa umeishatengeneza roboti?
 
Kwa majibu haya umemtukana hata mama yako.

mtoto wa kike hana faida yeyote kwa wazazi, ataolewa na kwenda tumikia familia nyingine au kukusumbua kuruka ukuta usiku akifika miaka 15 ... na akiolewa hata jina la ubini litakuwa la mumewe yaani hasara tupu.wanaozaa wa kike wanajibebesha magarama bure kwenye uchumi mgumu kama huu wa bongo.mtoto ni wa kiume
 
Back
Top Bottom