>> Nadhan Sasa Muda Huu Ni Ule Muda Wa
Kulipa Fadhila.. Ww Ambaye Ulitumia Cha
Mwenzako Mchana,, Ucku Huu Ni Zamu Yako
Kulipa..!!
=> Najua Wajanja Mmenielewa Apo..
UCKU
MWEMA AISEE KWA...
Enyi nyote wana MMU nawapeni hii zawadi ya dedikesheni kwaajili ya Valentini
Nawapendeni nyote kama ilivyo kawaida ya Paroko asivyo na ubaguzi
Maandalizi mema ya siku ya wapendanao ...
Kim Kardashian showed off her killer curves while out and about Los Angeles on Monday by way of a pair of formfitting capris.
Sporting a sleek ponytail, the E! star complemented the lower half of...
wadau wa mmu habari zenu kwa yule ambaye yupo single kama mimi a girl lakini natoa ofa ya kula nae bata just as a friend tu and not otherwise pale kijiji beach all costs on me aliye tayari anipm
Wife amelianzisha jioni hii, anadai amenivumilia sana kila mwaka sichukulii serious siku ya valentine kumuweka mkao kumuweka mkao. Anataka kila 14th of february niwe namnunulia nguo, viatu na...
Mfano ukiamua utoke leo siku ya valentine utatoka na nani,una wapenzi kibao wengine umefanya mikataba nao chumbani,ile ya richmond hadi leo aijatutoa gizani,
Nakushauri tu ili wasikupate zima...
Siku kama ya leo (14/02kila mwaka) imezoeleka watu kupeana zawadi na kuspendi time pamoja especially kwa wapenzi (japo siku hii tafsri yake ya halali sio siku ya wapenzi kwa maana ya wenye...
Ni wazo tu limenijia baada ya kutafakari jinsi ambavyo Guest zitajaa leo na jinsi watu watakavyongonoka na kiashiria ni jinsi mijadala inavyendelea humu MMU
Ikiwa unaunga mkono weka LIKE
Ni wazo tu limenijia baada ya kutafakari jinsi ambavyo Guest zitajaa leo na jinsi watu watakavyongonoka na kiashiria ni jinsi mijadala inavyendelea humu MMU
Ikiwa unaunga mkono weka LIKE
Napenda kuongelea suala lililokthiri sana siku hizi huko Bongo. Sambamba na kubandika sijui kuotesha makalio wadada siku hizi wanafasheni ya kujichubua na kujikoboa, na hatimaye kujibadilisha...
habari!
Nahitaji mpenzi mwenye sifa kuu kuwa awe kimbaumbau/portable , sexy , presentable na asiwe mtu wa kujivunga vunga hovyo.mambo ya sitaki nataka hayana nafasi hapa kwangu...
1. Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni eeh
................................, kuepuka ushauri, na mahasidi kwa kweli ooh Sauda
na mahasidi kwa kweli ooh Sauda...
Sauda...
"Remember When"
Remember when I was young and so were you
and time stood still and love was all we knew
You were the first, so was I
We made love and then you cried
Remember when
Remember...
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza sana hata hivyo cjapata jibu yakini! Je, ni kwa nini mwanamke anapokuwa kwenye mazoezi ya kawaida anaonekana kuwa mzito sana, lakini akiwa kwenye 6x6 unaweza...
Siku mbili zilizopita mtaani kwetu hasa katika sehemu ninayoishi yaani nilipopanga niliombwa msaada wa kufungua facebook account, dada kanifuata na kuniaambia tafadhali naomba unifungulie facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.