Papaa Tony
Member
- Aug 21, 2013
- 65
- 48
MPE USHAURI BW. CHACHA
Bw.Chacha ameoa 6yrs ago, mkewe anaitwa Bhoke, baada ya kuoa chacha aliapa kumpenda mkewe na aliapa kutompiga hata kofi.
Bhoke alidekezwa kama yai, ilifikia hatua watu wakasema Chacha kapewa ndumba, mara wanawake wenzie wakaanza majungu, "Bhoke mumeo hakupendi" Ghati alisema wakati wakiteka maj. "kwanini" aliuliza. sikia jibu la Ghati " kwenye kabila letu mwanaume bila kukupiga hakupendi".
Astakhafilula. Bhoke akapewa mifano mbalimbali ya wanawake Ghati alioona wanapendwa akiwemo ghati mwenyewe.
Bhoke akaenda kuomba ushauri kwao. huko akakutana na dada yake mkubwa, akamuelezea maisha wanayoishi yeye na mumewe.
Lahaula dada mtu nae ndio walewale akarudia maneno ya Ghati.
Kuanzia hapo bhoke akaanza kufanya makosa kwa makusudi ili apigwe kudhihirisha kama mume anampenda.
Chacha anakumbuka kiapo chake anavumlia.
Ukstaajabu ya musa utayaona ya firauni.
Baada ya kuona hapigwi Bhoke kaamua kufungua kesi, akidai hapendwi sababu ni kua hajawahi kupigwa na mumewe.
Tumsaidie chacha afanyeje? ukweli mtupu