Ujumbe maalum Kwa wapendanao

Lami

Senior Member
Jan 1, 2014
117
65
"Upendo wa kweli huvumilia, hufadhili, hauhusudu, hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na kweli." (1 Korintho 12:4-7)

Nawatakia happy VALENTINE DAY
 
Unajua kilikuwa kinazungumziwa nini hapo?
Unajua upendo ni nini?
 
Wewe unawapa ujumbe wa maana wenzio wana waza kugegedana tu wagawiane kaswende,UKIMWI,kuachiana gubu na wengine kuambulia mimba zisizo tarajiwa baadaye wavitupe vichanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom