Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

girlz ck hz hazijulikan sura zao ni makeup tupu, nguo za ajabu ili kuwavutia boyz, girl ni ua la ndan ck hz wanazurura 2
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Habarini mabestito HEBU TUANGALIE DALILI ZA MWANAMKE AMBAYE ANAKUPENDA KWA DHATI KUJITOA KWA KILA HALI Mwanamke anayekupenda kwa dhati, atajitoa kwako kwa kila hali. Unajua, kuna mambo ambayo...
4 Reactions
12 Replies
12K Views
Nice shape, Understanding, white in colour or black but not so dark , employed,bit educated, But not chagga, All religions if ur da one be kind enough to dial dis. No. 0718261099 see u soon!!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiukweli nimefanya utafiti wangu na kubaini wadada waliozaa nje ya ndoa wakifika kwa mwanaume wanajifanya wanamapenzi ya dhati sana...! Sas binafsi sijaweza kujua kama ni kweli au janja yao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku ya valentine ni kila mwezi wa pili ambapo watu hudhihirisha mvuto na haiba za mapenzi kwa kila mmoja kwa kupeana kadi na zawadi. Sherehe hii chanzo chake ni mambo ya dini za kirumi...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Valentine day hiyoo, Usiombe zawadi yoyote kwa mpenz wako! Omba tu simu yake ushinde nayo kutwa nzima kama hujafa kwa presha!
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nawashukuru wakazi wa Dom kwa ukarimu wenu hadi mkanionyesha Rose Garden ya huko na viunga mbalimbali . Leo ndo naiacha Dom maana Wazee wa Bunge la Katiba wameanza kuingia fujo kila kona Ukimwita...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wewe ni kijana ambaye unaelemu either ya Advance Diploma au Degree. Umewapenda wasichana wawili. Ambaye moja kati ya hao unataka awe mke. Wasichana hao wametofautiana kwa vitu kadha ila tofauti...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ladies and Gents habari za siku nyingi .. Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo.. Nimekuwa na mme wangu kwa miaka...
9 Reactions
238 Replies
25K Views
Angalizo: Hauhitaji kuwa mganga wala mchawi kujua mambo haya yatatokea leo!! Hauhitaji TB Joshua akwambie haya; 1. Pharmacy zitatengeneza hela nyingi sana hapo kesho kwa mauzo ya Morning...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hi. Members I'm working with a company that supplies organic products. Katika bidhaa hizo Kuna bidhaa za kuboresha heshima ya ndoa.Najua hili tatizo ni kubwa kwa sasa hasa kwa wanaume. Hii...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Age: 21 and below 2. Sex: Female 3. Knowledge: Hotel MGMT na Basics za Computer 4. Height ya kutosha 5. Presentable on Media 6. Asiwe na sifa ya umbeya 7. Ability to socialise
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani kwa akinadada waishio the rock city (mwanza) natafuta Msichana mwenye hipsi kubwa ili nitoke nae maana niko alone pesa ya kula kuku itakuwepo km upo panda hewani kwa 0659336264
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Jamani Niko mpweke cna .wakutokanaye atakaye kuwa tayari ani pm kwa madem tu.nategema mazuri naushirikiono wenu kwangu by jaluo
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Unakutana na msichana kwenye hiace mnakaa siti 1(either unamkuta au anakukuta), Unajiongelesha palee,unamuomba no anakupa,kama unashukia njiani ye anaendelea,unavyoanza kuondoka unam-txt...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kenya wameanzisha huduma ya dial a condom. Huduma hii inawahusu wale wanaoogopa kwenda kununua kondom madukani.Basi wanatakiwa tu kupiga simu kisha kufikishiwa kondom hapohapo ulipo. Kuelekea...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
UKIONA UMEJIANDAA SANA NA VALENTINE UHUSIANO WAKO UNA UFA: Taratibu tutaelewana tu..Unasubiria Ijumaa ya Tarehe 14 kwa nguvu sana ILI IWEJE? Labda kama ni Anniversary ya penzi lenu(mlikutana...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
NINA JINI MAHABA ANANIFANYA VIZURI KIASI SITAMANI MWANAUME YOYOTE..HELP PLIZ Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa...
1 Reactions
77 Replies
17K Views
A 22 years old boy got a 16 years beautiful girl’s photo on the street side & he fell in love with that girl... with time his love 2wards girl grew more n more. he started luvn that girl...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Ndugu wana MMU, sayansi ni pana. Kuna ile ambayo ni ya msingi (Natural Science) na ile ambayo si msingi (Social Science). Natural Science pia ina matawi mengi sana, na ni hii science ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom