Atakula vizuri Valentine yake huyu

Atakula vizuri Valentine yake huyu

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,944
Reaction score
4,511
FKB_7303.JPG

Picha inaongea maneno 1000 jionee mwenyewe mrembo akiwa kazini.
 
true colour-wanawake hadimu sana
 
Mimi hata sijakuelewa!! umejuaje kuwa atakula vizuri Valentine yake?
By the way Valentine sijawahi kuiona sehemu ikiuzwa kama chakula!!! Najuta kutoka kijijini juzi maana hata chakula kinachoitwa Valentine sijawahi kula!
 
Mkuu picha inazungumza, kesho nitakuwekea akila baga la kitumbua
 
Mkunu wa kushona naona haufungwa gavana....

Kazi kwenu vijana....
 
uwiii we watu8 mbona hivo jamen. wanaume si mmeumbiwa mateso ama?
Huo msuko wa nywele waitwaje?

Maana hicho kichwa kikiegemeshwa kifuani na hiyo minywele si kuumizana jamani kama mtu kakukandamiza na marimba...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom