Kwa wapendanao!

Kwa wapendanao!

miku

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
148
Reaction score
190
Kwa wale wote wapendanao ,napenda kuchukua nafac hii kuwatakia valentine njema,uwe pia ni wkt wa kutafakari uelekeo wa mahusiano yenu na c kuishia kula dinner na kufanya ngono!km ww ni mtt wa kike na umevalishwa pete ya uchumba mwaka wa 3 sasa jaribu kutumia siku hii kujua hatima yako,na wewe kijana unayeongopa maisha ya ndoa fanya maamuzi magumu ktk cku hii!vuta mke ndani!🙂
attachment.php
 

Attachments

  • 1392334916727.jpg
    1392334916727.jpg
    85.5 KB · Views: 136
If you truly love someone why then can't every day be Valentine's day?

For my money, I think it should.
 
  • Thanks
Reactions: Luv

Similar Discussions

Back
Top Bottom