Zawadi ya bibi harusi

Zawadi ya bibi harusi

k-star

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
541
Reaction score
392
Habari zenu wana MMU.

Dada yangu anaolewa weekend hii sasa nimeshindwa kumchagulia zawadi gani nimpatie inayomfaa ktk harusi yake. Naombeni ushauri wenu wana MMU ipi itakuwa bora zaidi kwake...?
 
Habari zenu wana MMU. Dada yangu anaolewa weekend hii sasa nimeshindwa kumchagulia zawadi gani nimpatie inayomfaa ktk harusi yake. Naombeni ushauri wenu wana MMU ipi itakuwa bora zaidi kwake...?

Kwani hana bridal registry popote pale?
 
Hata ujumbe unamtosha, sasa mpe hu hapa
"Ndoa ndo ya maji" hata ikijaa asichoke kuibeba
 
simple and unique...
just_married_flip_flops_for_bride-r4c11fd97b5d34afa964dfa602ae53ce1_wy91l_8byvr_512.jpg
 
Habari zenu wana MMU. Dada yangu anaolewa weekend hii sasa nimeshindwa kumchagulia zawadi gani nimpatie inayomfaa ktk harusi yake. Naombeni ushauri wenu wana MMU ipi itakuwa bora zaidi kwake...?
Mtafutie kitanda kizuri
 
Kama hana mnunulie kati ya hizi,...
kabati la nguo, kabati la vyombo, Home theatre au sofa set
 
Depending na una sh ngapi waweza mnunulia water dispenser na mtungi wake (bila maji lol), zulia la rum labda sio kubwa saaana, jagi la maji la umeme, microwave, bathroom set ( ina makorokoro mengiiii wewe tu), tea set zile nzuuurii hata ukiziweka kwenye dining table au kabatini zinapamba vizuri, the list is endless...
 
Back
Top Bottom