Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
Nisiposikia sauti yake naumia!
Nisipopata SMS nakasirika!
Sina nguvu za kucontrol...
ETI serikali imefilisika kiasi kwamba Tanesco imeshindwa kutoa huduma ya umeme kwa wateja wake. Ili kuchaji simu ni lazima uende na simu yako makao makuu ya Tanesco.
Sasa mi nikawa napita kila...
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23;
-Maji ya kunde
-Urefu sm 159
-Uzito kg 59
-Si mnene si mwembamba
-Msukuma wa shinyanga
Hapo juu ni baadhi ya...
Habari zenu wana jamvi.
Nakumbuka ilikuwa Juni 2012, nilipokutana na dada huyu aitwaye Apaikunda.
Kama ilivyo kawaida ya wanaume, siku hiyo nikamwomba namba yake ya simu, hakusita, akanipatia...
1.Ukienda bar una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza;
2.Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii;
3.Unapoagiza bia una uhakika wewe ndiyo wa kwanza kuifungua(huwa bikira);
4.Wakati ukinywa...
Fatuma ana mume wake wa ndoa kwa mda wa miaka minne sasa, ana kazi nzuri, wamejaaliwa mtoto mmoja ana 3years, wanavumiliana kwa mengi. Wanafanya mambo yao pamoja wanasaidiana ila Fatuma amekua...
1.awe white au maji ya kunde.
2.awe ana akili timamu.
3.awe ana umri 18-21.
4.elimu yeyote isipokuwa degree or masters au Phd
My contact.
Mwallongog@gmail.com.
Sitani it is true
Serikali au vyombo vinavyohusika vitunge sheria itakayokataza matumizi ya mbao kwa kutengenezea mageneza na badala yake utaratibu wa kuchoma maiti uwe ndiyo mbadala ili kuokoa miti na ardhi...
Wakuu,eti hii ina ukweli?mwanaume anakuwa mchovu naye anapenda kulala lala wakati mkewe mjamzito..eti wanasaidiana uchovu?hebu ambao mna wake ambaowashakuwa wajawazito fungukeni kuhusu hilo..kuna...
Uchunguzi umeonyesha kuwa siku ya Valentine ilimalizika kwa kuwa na matukio mbalimbali kama :
Ndoa zilizo vunjika 24%
Fumanizi 48%
Watu walio zini 97%
Vitanda vilivyo vunjika 18%
Maambukizi...
Jamani hii ishu nimeiskia na nikaona, sasa leo niko kwenye UDA mbag/rang3-mwenge,
Jamaa mmoja ananipa story kuna Bi. Harusi kaumbuka kapika bwabwa biiichi kapewa talaka wiki ya pili toka...
Nimetoka kazini na jamaa yangu, na nikampa lift hadi kwake. Akanisihi niingie ndani niisalimie familia yake maana siku nyingi sijafika kwake.
Baada ya kuingia ndani shemeji kaja kampokea mume wake...
Mi ni mmoja wa kati ya wengi nilie bahatika kupita jandoni in early 1990's kama ilivyo jadi ya watu wa kusini.....nilifundishwa mambo mengi sanaa yaliyo nijenga ki maadili ya kimwili na kiakili na...
Hili ni somo muhimu katika kuimarisha mahusiano kati ya Mume na Mke au baina ya marafiki.
Usafi ni muhimu sana kwa pande zote yaani mwanamume na Mwanamke,ila kutokana na maumbile usafi ni muhimu...
Habari wapenzi woote wa hapa JF Hopefully weekend hii ndefu na Eid ilikua pouwa... Hii thread ni a dedication kwa yalowakuta....lol... Enways....
Naomba observe closely vipengele hivi kumi (10)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.