mimi nina umri wa miaka 26 na nimesomea building engineering lakini bado sijapata ajira stable.natafuta mwanamke aliye na uwezo kifedha tuishi wote bora heshima iwepo na idumu siku zote.umri sio...
Kwa wale ambao wamekwisha kuwa na mahusiano angalau kwa miaka miwili naamini wengine walikwisha wahi kukutana na swali hili kutoka kwa wanawake. Kitu gani kizuri ulisha wahi kunifanyia mimi toka...
Kijana mmoja aliyekuwa hana kazi aliamua kutuma maombi ya kazi ya umesenja (office boy) kwenye kampuni fulani kubwa.
Mwajiri alimfanyia interview na kijana akaonekana kuwa atafaa kufanya...
Mpendwa msomaji.
Si maneno yangu bali ni huzuni kubwa nasikiliza kipindi kimoja Radio Power
Kila mwanamke anaeomba maombi Mume
Mzinzi
Mlevii
Hatoi matumizi
Nk
Imefika badhi wanasema kama...
Ni dkika chache kabla haijatimia sa 9 za usiku, ikiwa ni baada ya kukamilisha kazi zangu (coz mojawapo ya kazi zangu ni blogger na kumanage social networks, ni mitandao inayohitaji upadates za...
Habari za mchana mabibi na Mabwana,
Kuna dhana moja imeeneza miongoni mwa jamii zetu kuwa "Wacha tufanye mapenzi kiholela mpaka hapo tutakapoingia kwenye ndoa, ili tukishaingia tutulie" dhana...
Ndio hivyo nauliza, yule mwanamke aliyetaka kuua mme wake kule Arusha kesi yake iliishia vipi.
Nataka kujua tu na naona ni vizuri kujua kuhusu ukatili wa wanawake dhidi ya wanaume linapokuja...
Habari zenu wadau, leo kuna jambo nimeona tukumbushane. Kutokana na mabadiliko ya maisha, zama zile msichana kupata nafasi ya kukutana nae ili umweleze yako ya moyoni ilikuwa kitendawili, mimi...
Pretty girl seeking a rich husband got a shocking Investment banker's reply
Wetindey.com: Pretty girl seeking a rich husband got a shocking Investment banker's reply
Not sure if a CEO has the...
Wadau bado natafuta mke kupitia jukwaa hili,
Mimi nipo mwanza na nafanya kazi.
Nahitaji na yeye awe anafanya kazi, akiwa mwalimu ni nzuri zaidi, awe mpenda maendeleo, mtaratibu na mwenye mvuto...
Jamani nina mawazo, wazazi wangu wametuma ujumbe kupitia mdogo wangu kwamba nisirudi nyumbani bila mke. Sio kwamba sitaki kuoa,uwezo upo na nia ipo,tatizo tangu nimetendwa sina maandalizi wala...
Napenda kutoa taarifa kuwa ni kweli nili-post thread hapa ikiwa na kichwa cha habari, "Ninyi Mabinti acheni hizo"
Katika thread ile niliongelea namna nilivyopata misuko suko ya kimahusiano katika...
Siku ya leo Inshaallah nenda hudhuria harusi ya shogangu wa ukweli haswa huko viunga vya Paje, lakini mpaka saa hizi sijajua nimnunulie zawadi gani.
Hebu waungwana nisaidieni nimnunulie zawadi...
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!
Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!
Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia...
Ni binti anaesoma kidato cha sita katika shule moja ya sekondar nchini Uganda anafanana sana na Irene Uwoya kwa umbo kwa rangi ya ngozi japo ye anasura nzuri zaidi.
Huwa anatendence ya kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.