Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau mimi nakubaliana kabisa na usemi hapo juu (ukibahatika kupata mwenzako mwenye Busara) basi ni msingi mkubwa wa maendeleo……… Na Opposite pia ni kweli Kama mwenza hafai hata...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Natumai hamjambo na mnajiandaa na w/end, Kuweni makini sana maana w/end ina mengi. Leo jioni nina ka swali kwenu Hebu fikiria tu kuwa uko kwenye uhusiano ambao ni serious au uko kwenye ndoa...
2 Reactions
246 Replies
17K Views
Natafuta mwanamke wa kufurahishana tu sio kuolewa .Kama upo nipm
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wadau? Nina rafiki yangu mmoja amekuwa na mpenzi tangu chuo. Yeye alimtangulia mwenzake mwaka mmoja kumaliza na alipomaliza akarejea kwao Shinyanga na dem wake ni wa Njombe. Licha ya...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Wana JF wenzangu, naomba mnisaidie kuhusu hili linalonikabili Nina rafiki yangu MWENYE UMRI WA MIAKA 25 (AMEMALIZA CHUO KIKUU, 2011) Yeye ni wa Imani tofauti na yangu lakini nimempenda na...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Wakuu naomba mawazo yenu mi kijana na karibia miaka 29, ni mfanyakazi serikarini mshahara wangu ni 350000 kwa mwezi, ni muda sasa karibu miaka miwili sijapata mwenza nimejaribu kila njia lakini...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Siku ya kwanza unamuona msichana mrembo, kakuvutia, amevaa vizuri kama apendeleavyo kuvaa yeye. Unamtongoza na hamna tatizo lolote amekukubali na kuanza mahusiano. Amekuwa mpenzi wako punde...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Naombeni ushauri, najisikia raha sana km nikimdate demu anijibu matusi na kwa nyodo. Naweza kuwa nina tatizo?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau, Ni nini maoni yako juu ya swala zima la matumizi ya simu za kiganjani linapokuja swala la mapenzi?Je,zimeboresha mahusiano au ndio zimekuwa chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa binti anayehitaji kuolewa mwaka huu ni pm, sina masharti mengi ila tu umri asizidi 27yrs na at least form 6, nawakilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndani ya upendo wa kweli kuna nguvu,tena zile za miujiza. Anayetoa upendo wa kweli hukirimiwa maono,huona,huisi na hatimaye huweza kung'amua na kuzuia. Mungu huongea na wanadamu kwa njia...
40 Reactions
132 Replies
16K Views
Najua umejiuliza ni shida gani anayo baba paroko leo,usijali nitakueleza Kwanza leo nimeamka na nina stress zilizochanganyika na hasira ila kilichonisababisha hasira na hizi stress sio hiki...
8 Reactions
358 Replies
22K Views
nina mpenzi wangu ninapo mueleza ukweli wangu,jinsi gani ninavyo mpenda anahisi namdanganya,wakati huohuo cna m2 kwamba namficha ili yy asijue
0 Reactions
17 Replies
2K Views
She was just 11 years old when it started appearing and she spent her teenage years desperately trying to remove it by waxing TWICE a week and covering her body in baggy clothes. Dar Hot News
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama Miss Utalii na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa...
7 Reactions
28 Replies
8K Views
Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni jambo la kawaida kwetu wanaume 'kugonganisha magari' bila hata haya. Kijana wa kiume au mwanaume anaweza kuanzisha mahusiano na mabinti au wanawake kadhaa na wote...
0 Reactions
205 Replies
12K Views
Jamani sijui ni mim nimepitiwa na wakati au nimegoma kwenda nao..sijui wanadamu wa sasa tumekuaje..unakuta unakutana na mwanaume siku ya kwanza mnakaa vizuri tu then siku ya pili yako mtu tayari...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Speaker wa bunge la Muungano Anne Makinda akiongea na wabunge wanawake, licha ya kuwatahadharisha madai ya ongezeko la posho kwa kuwaambia bungeni si mahala pa kuibuka na pesa nyingi za...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari MMU Juzi kati wakati naelekea ofc nikiwa na piki piki yangu kabla sijafika ofisini nilisimamamishwa na bi dada wa miaka 35 hivi Ni mdada kwa muonekano wa nje anavutia sana. Baada ya...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nilikua nina girlfriend wangu tulipendana sana alifanya vituko vingi sana kwakuwa nilimpenda nilimsamehe kuna siku nilikuta kwenye simu yake jamaa kamtumia picha ya mgegedo wake kupitia watsup...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Back
Top Bottom