Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Mi ni mmoja wa kati ya wengi nilie bahatika kupita jandoni in early 1990's kama ilivyo jadi ya watu wa kusini.....nilifundishwa mambo mengi sanaa yaliyo nijenga ki maadili ya kimwili na kiakili na yananisaidia sana katika maisha yangu mpaka leo.....mojawapo ikiwa ni kujitambua as a boy, guy,man(husband and head of the house)...
je wewe umewahi kupata mafundisho ya jando/ unyago? elimu uliyo ipata huko inakusaidiaje katika maisha yako ya leo?
napendekeza wazazi jitahidini kuwapeleka vijana wenu wakapate mafundisho ya jando na unyago.