Natafuta mchumba(Mwanza au Shy)

Natafuta mchumba(Mwanza au Shy)

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
753
Reaction score
659
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza.

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23;
-Maji ya kunde
-Urefu sm 159
-Uzito kg 59
-Si mnene si mwembamba
-Msukuma wa shinyanga

Hapo juu ni baadhi ya sifa zangu.Natafuta(binti) Mchumba mwenye utayari wa kuishi maisha ya ndoa muda si punde na awe maeneo ya Mwanza ama Shinyanga.Sina vigezo,kikubwa awe na hofu ya Mungu na mwenye mapenzi ya kweli.Umri awe chini ya miaka 21 na asiwe chini ya miaka 18

Nipo serious,jamani,utani pembeni.Kwa yeyote aliye tayari na anahisi nia anayo ani_PM

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom