Mke wa mtu na kikuku

Mke wa mtu na kikuku

Kama mumewe hana tatizo kwa nini isiwe sawa?

Au sahau hata mume, kama yeye mwenyewe haoni tatizo, kwa nini isiwe sawa?

Taswira potofu za waja zitakuwepo tu bila kujalisha anavaa au havai hicho kikuku.

Cha muhimu ni watu kujifunza kujali mambo yao na kuachana na ya wengine hususan yale yasiyowahusu.
 
Chochote chaweza kuvaliwa kulingana na mtazamo wa mvaaji. Kama mke akiamua kuvaa unadhani nani ataweza kumzuia?
 
Mbona nliskia tafsiri yake sio nzuri? Inahusisha kuliwa naniliu!
 
Kuna wengine dini zao zinawaambia usipomjaza mke wako midhahabu ya kila aina ni dhambi, kwao hao, mke kutokuwa na kikuku ni vibaya.

It all depends on what is your cosmogony and frame of reference.
 
Cha wapi mguuni kichwani kiunoni?


husna.jpg
 
Wa kwako anavaa au havai. Wewe unamaoni gani
 
kikuku ni utamaduni wa watu...

kuna wakati mume ndie humshawishi mke kuvaa hio kikuku unayoiita..

lakini kwa tafsiri za wengine hudai kwamba kuna wanawake wengine ambao wanavaa kikuku mguu mmoja, hii huleta tafsiri kwamba hawa ni KABAANG dealers... yawekana !

kuna wengine huvaa miguu yote miwili, hii haina shida, kwa mujibu wa wanazuoni wa mitaani.

MGUU.JPG
kikuku.jpg

images+%288%29.jpg
1358101296428-731514329.jpeg
kuukuu.jpg

23.jpg


ni wewe tu sasa kuamua kuvaa au kutovaa!
 
Unavaa tu tu,binadam hata uwafanyaje kusemwa kupo pale pale
 
naskia maana yake ni kuku kakata kamba...si unajua kuku akikata kamba anaweza kukamatwa na mtu yeyete yule na kuliwa supu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom