ndisinzowa
Member
- Aug 18, 2010
- 86
- 14
Wakuu,eti hii ina ukweli?mwanaume anakuwa mchovu naye anapenda kulala lala wakati mkewe mjamzito..eti wanasaidiana uchovu?hebu ambao mna wake ambaowashakuwa wajawazito fungukeni kuhusu hilo..kuna ukweli?
aiseee, uanamme wa sasa kazi mno.
Hakuna kitu kama hicho,usisikize maneno ya waswahili, connection ipo wapi hapo, mayb mafua kama alivyosema mdau hapo juu
Ni huruma tu ukamhurumia hamna kitu kama hicho, wanaume wake zao wakiwa wajawazito wengi wanahisi hata kufanya mapenzi nao ni dhambi au wanawaumiza, wakati wanawake wengi huwa hamu zinapanda mara dufuMkuu acha ubishi kama haijawah kukupata then sikiliza kwa wakongwe! Its true na I don't know why!yaan mie hamu ya kumkandamiza ilitoweka kabisa mpaka nkawa najishtukia may b nina tatizo!alivojifungua tu mh hamu debe yaan mpaka ikawa kero mkuu!
Wakuu,eti hii ina ukweli?mwanaume anakuwa mchovu naye anapenda kulala lala wakati mkewe mjamzito..eti wanasaidiana uchovu?hebu ambao mna wake ambaowashakuwa wajawazito fungukeni kuhusu hilo..kuna ukweli?
kwani hamjui kwamba kuna wanaume huwa wanawabebea wake zao mimba? ni kweli ila inategemeana na emotional attachment kati yenu manake kuna wanaume wengine wao ndo watakula ubuyu na malimao wake zao wakiwa wanamimba wengine hadi maembe machanga. kasheshe ni pe anapoumwa uchungu baba, siku ya mama kujifungua. yaani anaumwa tumbo sana utafikiri anataka kuzaa lakin mkewe ndo anasukuma mtoto..
binafsi sijui kwanini hii hutokea ila nimewah kushuhudia mchungaji jiran yangu akiugua uchungu mkewe akazaa pasi uchungu sielewi ilikuwa ni kawaida ama kuna utundu hapo kwli sina hakika.