Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nawapenda wote!! Ni juzi tu nilialikwa kwenye kitchen party ya jirani yangu Mwanauba, nilijuta kwanini nilikwenda maana nilijikuta nikipoteza raha yangu yote..... Mama mmoja ambaye alialikwa...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Nilimpigia simu nikaikuta inatumika nikakata nikijua akimaliza atanitafuta hakunitafuta nilivyokuja kupiga akaniambia anatoka kuoga nikamuuliza mbona simu yako ilikua inaongea?duh kawa mkali mpaka...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
kwa walio wazoefu, eti ni kweli mkiwa na mechi mmojawapo akitumia au wote mkatumia hayo makitu, panakuwa hapatoshi uwanjani? au ni story za vijiweni?
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Ndugu wana JF mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyoni kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakini yeye...
1 Reactions
164 Replies
21K Views
Wakuu habari Zenu, twende kwenye mada moja kwa moja. Hivi Mahari ni muhimu kulipwa? Mantiki ya mahari ni nini? Hivi hatuoni kuwa ni sababu ya w/wake kunyanyaswa? M/ume analipia Mahari kwa maana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nadhani kila mtu anakumbuka vizuri alivo ingia kwenye mahusiano kwa Mara kwanza kabisa Mi binafisi nakumbuka nilikuwa Kidato cha pili miaka...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hapa kitaa kuna jamaa kaoa kama miaka miwili hivi ndio wana kitoto kichanga cha miezi miwili yeye na mke wake! sasa jamaa kafumaniwa anafanya mapenzi na mdada wao wa kazi duh!!!! mke wake first...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Barua inajieleza.
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Mim mwanaume wa kitanzania umri 25yrs nimeajirwa serekalin mkristu. MY FEATURES: whitecolour,long nose,shapen eyes,middle height and 72kg Weight nahtaji msichana baadae aje kuwa mke wangu.Sina...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Waswahili tuna msemo kwamba uzuri wa mwanamke ni tabia, mbona akipita mwanamke wanaume tunaangalia ------,,!au tabia iko matakoni??
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Hebu wana Mapenzi Njooni hapa mtwambie hili neno lina ukweli wowote??Kumbe ukipata mpenzi usijisifie?? Ete..."UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA FARA KAACHWA!!"Mweeee!Mimi kweli nimeugua ghafla!
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Katika kile kinachoonekana kupunguza kasi ya CDM na kiongozi wake machachari Dr Wilbroad Slaa Mbunge wa viti Maalum wa chama hicho Rose Kamili amekwenda mahakamani kumshtaki Katibu mkuu wake Dr...
5 Reactions
736 Replies
52K Views
Habari kwenu, Au ni kwa kuwa wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa tayari walisha kuwa na mahusiano ya kingono na watu wengine tofauti tofauti hivyo wakiingia kwenye ndoa hawaridhishwi na wenzi wao...
1 Reactions
79 Replies
14K Views
Wana MMU, -Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Mimi ni kijana (mwanaume), late twenties hvi, napenda sana kuogelea ila sijui. Natafuta mdada, anayejua kuogelea anifundishe. Ambaye yupo interested anipm,t uongee bei, location na time...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Embu tukumbushane. Si vibaya kumtoa outing mke,yawezekana umesahau au umepitiwa ila si haba kumbuka kumtoa outing mkeo. Je wewe mara ya mwisho lini?hata ile bar ya Kunonz inatosha.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau nimepanga kwenda South Africa kwa basi kutafuta maisha huko naona Bongo hapaelewek maana nimefanya biashara ya TAXI naona inabana BODA BODA, BAJAJ huku TRA na MANISPAA wanabana kwa sasa...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Jumapili nilienda kiwanja cha mbali na mazingira ninayoishi kujirusha. Nilipofika mda fulani hivi bila ya kutarajia nikamuona mpenzi wa rafiki yangu na mwanaume mwingine wakiwa kwenye romance...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Mwanaume shoga ni mwanaume wa aina gani? Nini anacho nini hana na je unaweza kuwa na mahusiano na mwanaume shoga?
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Natafuta muoaji nipo serious
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom