Usiniulize maswali mengi, ni ndoto tu.

Usiniulize maswali mengi, ni ndoto tu.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,685
ETI serikali imefilisika kiasi kwamba Tanesco imeshindwa kutoa huduma ya umeme kwa wateja wake. Ili kuchaji simu ni lazima uende na simu yako makao makuu ya Tanesco.
Sasa mi nikawa napita kila nyumba yenye mtoto mzuri wa kike nikikusanya simu zao nizipeleke Tanesco kuchajiwa.
Kimbembe ni wakati wa kuwarudishia simu zao sasa
 
Halo ya maisha ilivyo ngumu, Una nafasi ya kuota bado? Mwenzio nachoka kama mtwana, nikijitupa kitandani alarm inaniamsha kabla hata sijageuka mgeuko wa kwanza
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhaahhahahaha
 
kweli NYUMBANI PANONO ,USINGIZI MNONO.NA NDOTO NONO...
 
Halo ya maisha ilivyo ngumu, Una nafasi ya kuota bado? Mwenzio nachoka kama mtwana, nikijitupa kitandani alarm inaniamsha kabla hata sijageuka mgeuko wa kwanza

Mmmmh unafanya kazi gani ngumu na unapata muda upi kukomenti humu
 
Back
Top Bottom