Sababu 6 kwanini bia ni muhimu kuliko mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu 6 kwanini bia ni muhimu kuliko mwanamke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KiuyaJibu, Apr 9, 2009.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 740
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  1.Ukienda bar una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza;

  2.Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii;

  3.Unapoagiza bia una uhakika wewe ndiyo wa kwanza kuifungua(huwa bikira);

  4.Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi hamu haishi;

  5.Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu;

  6.Bia ni siku zote za mwezi huwa haiendi mwezini(haina siku zake).

  Binafsi siwezi kuipitisha hata mnishikie bastola.

  Tafakari,chukua hatua.

  Happy easter to all JF members
   
 2. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii imetulia vilevile mkuu ongezea hizi point
  7. Bia haina majungu
  8. Bia haina ubanguzi wa rangi wala kipato uwe na milioni au buku 2 kama bia inauzwa Tshs. 1500 basi wote mtalipe pei moja.
  9. Bia inamfanya mtu awe mkweli zaidi.(mtu akishapasha bia kadhaa mara nyingi hutumia subconscious mind which never mistakes)

  Wish you a wonderful Easter Holiday guys.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,864
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Je ni safari au ni tusker???
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Oyaaa

  10. Bia hunifanya niongee Kifaransa changu vizuri!
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,759
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Imetulia kitu mwake
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  naona Budlight au Corona
   
 7. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2014
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,907
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Bia haiambukizi maradhi
   
 8. ROBERT MICHAEL

  ROBERT MICHAEL JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2014
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 4,368
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Bia inanifanya mwanamke mwenye sura kama masudi sura mbaya nimuone kama Jokate.
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2014
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,985
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Naona vijana mnatuletea burudani za enzi hizo, loh! Ongeza na Hui
  1. Bia haipigi mizinga
   
 10. maringeni

  maringeni JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2014
  Joined: Oct 8, 2013
  Messages: 2,169
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Hekaya za mlevi na sifa za kijinga
   
 11. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2014
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,851
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...