Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,047
- 676
Mke wa Boss wangu ndio meneja wangu sehemu ninayofanyia kazi. Nimefanya kazi hii kwa muda sasa na nimekuwa nikimconfront meneja wangu for promotion since last year. (kupandishwa cheo na mshahara)
Lakini nimekuwa kila nikimkumbusha kuhusu promotion amekuwa akiniambia "timiza wajibu wako kwanza ndio utapapewa hiyo positive reinforcement unayotaka". Nimekuwa simuelewi kwa kauli hii lakini nikitaka anieleweshe zaidi anamaanisha nini haniambii kitu badala yake amekuwa akinipa baadhi ya vijizawadi chungu nzima ambayo sometimes vimekuwa vikileta ugomvi kati yangu na Girlfriend wangu, suspecting that I am having an affair with my Boss.
Jumatatu hii iliyopita aliniita ofisini kwake kwajiri ya kunipa "cheki" ya pesa kwajiri ya likizo yangu fupi niliyoomba ili niweze kwenda nyumbani kwetu kijijini kumuuguza mama yangu aliye hoi kwa kisukari na kansa. Chakushangaza sasa, on getting to her office she stretched her both hands wide open for me ni kama mtu anaetaka kuni- woow. Nikashangaa and i stopped immediately at the door. Akajibaraguza pale kisha akanionyesha sehemu ya kukaa nikawa nimekaa. Nilipomsalimia aliitika kwa uchangamfu sana kitu ambacho sio kawaida yake.
Baada ya hapo akanipa ile cheque yangu na akaniambia "Ur promotion
is overdue but its in your hands any time u are ready, juct tell me"
Nikamuuliza "What am i supposed to do mom?"
Akajibu kwa ukali kidogo "Are you a baby? can't u see that am in love with u?"
Kisha akawa kama amekabwa na hasira hivi na kuniamrisha, "Now get out of my office and get back to me when ever u are ready"
Nikaondoka pale ofisini na mawazo kibao. Sijui nifanye nini, nampenda sana mpenzi wangu na siwezi kumsaliti kamwe hasa kwa mtu alienizidi umri anaeweza hata kuwa kama mama yangu. Natamani nimwambie mpenzi wangu kuhusu hili jambo lakini naogopa coz amekuwa very suspicious na hata ile zawadi ya mwisho ya huyu meneja ilileta ugomvi mkubwa sana. To be honest sifikirii kabisa kufanya mapenzi na mama huyu just because i dont feel like doing it.
GUYZ NAOMBA MNISHAURI... SHOULD I TELL HER HUSBAND (MY OVERALL BOSS) OR GIVE HER WHAT SHE WANTS?