Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Habari zenu wanajamvi,
Nina rafiki yangu ambaye nimesoma nae chuo kimoja na kozi moja jijini Arusha.Huyu rafiki yangu alikua na girlfriend wake mzaliwa wa Arusha ambaye amedumu nae kwenye mahusiano kwa kipindi kisichopungua miezi sita.Baada ya kupata kitu kipya jamaa aliamua kumtema huyu msichana na kwavile huyu msichana tulizoeana kama mtu na shemeji yake hata baada ya kuachana na jamaa yake bado aliendelea kunisalimia na kunichangamkia kana kwamba hakuna kilichotokea kati yake na rafiki yangu.Kadri siku zilivyozidi kwenda kunichangamkia kwake kulizidi na mara kwa mara alikua akija gheto kunitembelea akiwa kavalia zile nguo za kubana ukizingia kwamba maumbile yake kwa nyuma Mungu kamjaalia maashallah.Kuna siku alikuja gheto kama kawaida yake lakini siku hiyo uzalendo ulinishinda nikambembeleza hatimaye nikapewa tunda la mti wa kati.Hali iliendelea kua hivyo hivyo na kila nilipomuhitaji alikuja haraka na hata nilipokua nahitaji yale mambo yetu hakusita kunipatia.Tatizo ni kwamba nilipomaliza chuo nilirudi nyumbani kuungana na mpenzi wangu wa siku zote ambaye kwasasa nimezaa nae mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili ambapo yeye hafahamu kama nina mttj mwingine.Mara kwa mara huwa ananipigia simu au hata kunitumia sms nyakati za usiku mnene.Kumkataza nashindwa na mama watoto huwa hapendi hali hiyo hali inayopelekea mama watoto wangu kukasirika mara kwa mara.
Kiukweli huyu ex-girlfriend wa rafiki yangu ni mzuri ila kwa mimi ni tamaa tu za kimwili ndizo zilizopelekea kuwa nae na ukweli ni kwamba mtu ninayempenda kwa dhati ni huyu mama watoto ambaye nimezaa nae.
Je nitumie njia gani kumfahamisha huyu ex-girlfriend wa rafiki yangu kwamba mimi nina mtu ambaye nimezaa nae pasipo yeye kuumia ?
This is based on a true story
Karibuni