kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Wanaona kuwa kwenye mahusiano au kuolewa ndio job apportunity. 99% ya wadada zetu ambao wamemaliza elimu za shahada mbalimbali wanatafuta mabwana badala ya kutafuta kazi au kitu chochote cha kufanya. Sababu wanaamini pindi wakipata waume job issue have been settled, sana sana wanawatafuta wanaume walio jijenga.
Badilikeni kimtazamo tumisha wajuwa. Ndoa zitabaki za kimanati na kupunguwa kila kukicha.
Badilikeni kimtazamo tumisha wajuwa. Ndoa zitabaki za kimanati na kupunguwa kila kukicha.