Mliooa wadada wasomi wenye mishahara yao tupeni uzoefu

Mliooa wadada wasomi wenye mishahara yao tupeni uzoefu

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
WanaJF kuna tuhuma nyingi kuwa hawa wadada wasomi ndani ya ndoa ni tatizo yani ni wajuaji,wana viburi na ujeuri kiasi cha kufanya waume zao kujuta mda wote ndani ya ndoa.

Nasikia pia hawana tofauti na wanawake wasio na kazi kwasababu mishahara yao haionekani ndani ya ndoa wanatumia wao binafsi kujipendezesha na ndugu zao sometimes hata kuhonga 'vidumu' vyao na kumuachia mwanaume zigo lote la familia,Kwa waliobahatika kuoa hii type naomba tushare uzoefu pls kwa nia nzuri tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
WanaJF kuna tuhuma nyingi kuwa hawa wadada wasomi ndani ya ndoa ni tatizo yani ni wajuaji,wana viburi na ujeuri kiasi cha kufanya waume zao kujuta mda wote ndani ya ndoa.Nasikia pia hawana tofauti na wanawake wasio na kazi kwasababu mishahara yao haionekani ndani ya ndoa wanatumia wao binafsi kujipendezesha na ndugu zao sometimes hata kuhonga 'vidumu' vyao na kumuachia mwanaume zigo lote la familia,Kwa waliobahatika kuoa hii type naomba tushare uzoefu pls kwa nia nzuri tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

ni matatizo kwanza atakwambia forget about my salary ukitaka kukosana nae zungumzia mshahara wake pili mwanamke msomi ki digital mnaoana sio unamuoa na hii inapelekea adai haki sawa nakushauri muombe mungu na usioe mwanamke mwenye mshahara kwa imani ya kusaidiana maisha huo ni uoga wa maisha mi nawasilisha.
 
Bora ahonge kidumu na ajikimu! Anataka kutunzwa pia kwa gharama, yaani kama Ni viatu Ni laki 2! Weka mbali na watoto na wavulana!
 
Hawafai hata kidogo,bora golikopa
kwanza hawana nidhamu,men lazima uheshimike! Kwake sahau hilo.
Pili mkwanja wake sahau,hata kama sukari imeisha nawewe hujarudi kazini yuko tayari wasinywe chai hadi wewe urudi.
Tatu wanajifanya wanajua kila kitu hasa haki zao, wako tayari kuvunja ndoa anytime.
Ukimpata kama huyo wa salary, zaa nae kisha sepa mwana.
 
Nimeuliza sasa hiv rafik zangu waliooa hao wanawake. Wananiambia wanajuta sana na wanaogopa kutoa talaka sababu hao wanawake watataka wagawane mali huku wao mali zao hazijulikani zi lipo.

Pia wameniambia hao wanawake wakirudi ndani ni kuagiza Mfanyakaz alete chakula ale na kulala tu na akilala marufuku kumgusa.

Pia wana visafari vingi vya kazi na maboss wao ndani ya nchi na nje ya nchi.

Pia mishahara yao haijulikan inaenda wap ati biblia inasema mwanaume atunze familia na atakula kwa jasho
 
WanaJF kuna tuhuma nyingi kuwa hawa wadada wasomi ndani ya ndoa ni tatizo yani ni wajuaji,wana viburi na ujeuri kiasi cha kufanya waume zao kujuta mda wote ndani ya ndoa.Nasikia pia hawana tofauti na wanawake wasio na kazi kwasababu mishahara yao haionekani ndani ya ndoa wanatumia wao binafsi kujipendezesha na ndugu zao sometimes hata kuhonga 'vidumu' vyao na kumuachia mwanaume zigo lote la familia,Kwa waliobahatika kuoa hii type naomba tushare uzoefu pls kwa nia nzuri tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho

Wanaume wa siku hizi mbona mnapenda miteremko?
Yaani wake zenu wazae kwa uchungu na wawalishe pia????

Si mnasema mwanaume ni kichwa?

Mshahara wa mkeo si wakuupigia mahesabu, yeye atacover pale palipopelea

Halafu hautaki asaidie ndugu zake? Mbona weee ndugu zako unasaidia?

Anyway ndoa ni vile mnavyoijenga

Ushauri wa bure: hakikisha una uwezo wa kutunza mke kabla hujaoa, sio kwamba mkeo hatochangia ila kama mwanaume uweze kukidhi mahitaji ya familia, la sivyo ndo hapo utakapohisi kudharauliea na kiburi

Na kumbuka familia inayopanga mambo yao pamoja hukaa pamoja
Wewe na mkeo muwe wawazi kwenye kipato na kupanga mambo yenu ya maendeleo, acha kusikiliza maneno ya mtaani..... Ndoa ni nyie mtakavyopanga na kupato chenu ni vile mtakavyokubaliana........

Kikubwa wanaume mjiamini
 
Sikiliza ndugu badili tabia,kama familia inakaa pamoja na kupanga pamoja,mbona wanasema tupange matumizi pesa yako? Yangu ina kazi yake? Kwani pamoja maana yake nini?
 
Kama wewe ni Kijana tafuta mke unayeona anakidhi vigezo unavyohitaji. Na msichana yoyote mwenye tabia mbaya utamtambua tu. Kipindi nataka kuoa kuna binti nilikuwa ninamchumbia, lakini kitu kidogo sana kilinifanya nijue tabia yake. Kuna familia tulikwenda kutembelea bahati mbaya konda wa daladala akatupitisha kituo, yule binti alimtukana sana konda tokea pale nikaona huyu mtu hanifai. Kuhusu wanawake wasomi na wenye mshahara mkubwa inategemea na tabia ya mtu. Kuna rafiki yangu ana Advance Diploma na mke wake ana Masters, huwezi amini kwa jinsi anavyoshuka na anavyomheshimu mme wake na mshahara wake umefanya mambo mengi ya kifamilia.
 
wahenga walikwisha kusema MASKINI akipata ------ ulia MBWATA
 
Imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho

Wanaume wa siku hizi mbona mnapenda miteremko?
Yaani wake zenu wazae kwa uchungu na wawalishe pia????

Si mnasema mwanaume ni kichwa?

Mshahara wa mkeo si wakuupigia mahesabu, yeye atacover pale palipopelea

Halafu hautaki asaidie ndugu zake? Mbona weee ndugu zako unasaidia?

Anyway ndoa ni vile mnavyoijenga

Ushauri wa bure: hakikisha una uwezo wa kutunza mke kabla hujaoa, sio kwamba mkeo hatochangia ila kama mwanaume uweze kukidhi mahitaji ya familia, la sivyo ndo hapo utakapohisi kudharauliea na kiburi

Na kumbuka familia inayopanga mambo yao pamoja hukaa pamoja
Wewe na mkeo muwe wawazi kwenye kipato na kupanga mambo yenu ya maendeleo, acha kusikiliza maneno ya mtaani..... Ndoa ni nyie mtakavyopanga na kupato chenu ni vile mtakavyokubaliana........

Kikubwa wanaume mjiamini

like like like, waambie hao. wasiosoma, wasiokuwa na mishahara mikubwa ndio majority, wamejaa tele mitaani, waende wakawaoe hao.
 
Aaaaagh! Siku zote mwanamke rafiki yake mkuu ni SHETANI ! hiyo iko proved just by reffering to ADAM&EVE! Hawa viumbe hawajaumbwa kwa ridhaa yetu, hata vitabu vya dini vimetanabaisha ya kuwa ADAM alilazwa usingizi wa pono na hatimae ubavu wake ulitwaliwa na MUNGU ili kumfanya MWANAMKE jina lake EVA!
So kwa mantiki hiyo, mwanamke hakuumbwa kwa mfano wa MUNGU (Meaning that a woman wasnt created to ad'hear God's instructions rather than being a destructive organism,she is also a very disapointing living organism.

Wengi wa wanawake waliosoma wametawaliwa na dharau,kiburi,kutojiamini kumiliki status yoyote na primitiveness imetawala maisha yao kumbe ni ushenzi mtupu!
Wanawake badilikeni na mtambue ya kuwa mwanaume ni zaidi ya kiumbe chochote.
Na wengine watafuata.
 
Jamani, dunia imebadilika! kama shule wote tunaenda, angalia matokea ya form 4 ya juzijuzi, wanawake ndio wanaongoza. Vyuoni GPA nzuri wote tunapata, kazi wote tuna chances za kuomba na kuajiriwa, tena sometimes sie tuna opportunities nyingi kuliko nyie, ila mishahara mikubwa mnataka muwe nayo nyie tu.
kuna mwingine aliwahi leta thread, anauliza afanyeje maana mkewe kanunua kiwanja, anauliza afanyeje, if awekeze hela yake kwenye kiwanja alichonunua mkewe or not? anaona siyosawa mke kununua kiwanja cha ujenzi. wewe unalalamika, wanawake pesa yao ni ya kwao tu ya kujipendezesha.
Jamani hebu mtuache... kama unaogopa waliosoma na wenye mishahara yao, jaribu wasiosoma na wasio na kipato, mbona wapo wengi tu
 
Wengine hatujaoa hao watu, ila tunayapata kutoka kwa wahanga. Ni kweli kabisaaaa wapo hivyo, tena ni kweli kwa 100% +; Tatizo ni ile dhana kwamba mwanaume ndiye mtafutaji, pia wanajua mume ni insurance ya kila kitu kwao. Ndio maana kuna baadhi ya wanaume hukataza wake zao wasifanye kazi au biashara, maana ni kama useless fulani hivi
NB: Sio wanawake wote lakini, wengine hawanunui chakula lakini watakununulia nguo na zawadi zingine kibao utakazozipenda
 
Aaaaagh! Siku zote mwanamke rafiki yake mkuu ni SHETANI ! hiyo iko proved just by reffering to ADAM&EVE! Hawa viumbe hawajaumbwa kwa ridhaa yetu, hata vitabu vya dini vimetanabaisha ya kuwa ADAM alilazwa usingizi wa pono na hatimae ubavu wake ulitwaliwa na MUNGU ili kumfanya MWANAMKE jina lake EVA!
So kwa mantiki hiyo, mwanamke hakuumbwa kwa mfano wa MUNGU (Meaning that a woman wasnt created to ad'hear God's instructions rather than being a destructive organism,she is also a very disapointing living organism.

Wengi wa wanawake waliosoma wametawaliwa na dharau,kiburi,kutojiamini kumiliki status yoyote na primitiveness imetawala maisha yao kumbe ni ushenzi mtupu!
Wanawake badilikeni na mtambue ya kuwa mwanaume ni zaidi ya kiumbe chochote.
Na wengine watafuata.
Binadamu wote ni sawa mbele ya muumba,ila aliyebora zaidi ni yule anaefanya ibada,sasa wewe kalia uanaume wako halafu uhisi ndio ubora,amka kijana,ALLAH amempa mama nafasi ya 1,2 na ya 3 baba akapewa ya 4,kaa chini ujiulize,hapa umeonyesha ujinga uliopitiliza.
 
Wanawake wote hawajiamini na akiri zao karibu wote ni sawa!
just imagine, wanafikia hatua ya kwenda kwa mganga ili akufanye zoba!
ndiyo maana nasema kuwa hawajiamini na hatari zaidi ni kwa wale waliobahatika kukamata fursa ya kushika vijisenti baaasi utakoma nae. Acheni ujinga aisee heshimni jinsia ya kiume ndiyo maana MUNGU ktk uumbaji wake alianza na mwanaumme.
 
Aaaaagh! Siku zote mwanamke rafiki yake mkuu ni SHETANI ! hiyo iko proved just by reffering to ADAM&EVE! Hawa viumbe hawajaumbwa kwa ridhaa yetu, hata vitabu vya dini vimetanabaisha ya kuwa ADAM alilazwa usingizi wa pono na hatimae ubavu wake ulitwaliwa na MUNGU ili kumfanya MWANAMKE jina lake EVA!
So kwa mantiki hiyo, mwanamke hakuumbwa kwa mfano wa MUNGU (Meaning that a woman wasnt created to ad'hear God's instructions rather than being a destructive organism,she is also a very disapointing living organism.

Wengi wa wanawake waliosoma wametawaliwa na dharau,kiburi,kutojiamini kumiliki status yoyote na primitiveness imetawala maisha yao kumbe ni ushenzi mtupu!
Wanawake badilikeni na mtambue ya kuwa mwanaume ni zaidi ya kiumbe chochote.
Na wengine watafuata.

Men behave yourself, usipotoshe maana ya bible plz. Adamu hakuona kiumbe wa kufanana nae ndio Mungu akamuumba mwanamke na Adamu akasema huyu ataitwa mwanamke kwasababu ni mfupa katika mifupa yangu na hivyo Eva akawa msaidizi wa Adamu! Ingekuwa Adamu hajui na anataka angechukua hata kuku awe anamsaidia? Respect women plz are their your mothers and sisters you couldn't be where you are without a woman!
 
Back
Top Bottom