iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
Ngoja nikupe kisa kimoja cha kweli. Mmoja wa rafiki wa Facebook alikutana na Account moja ya msichana Mrembo sana bila kujua akamtumia Friend Requesti jamaa yangu akiwa na furaha ya kujibiwa haraka na shauku ya kujua zaidi kuhusu Account ile ya Msichana Mrembo kupindukia.
Baada ya siku kadhaa kupita akiwa haja Log in kwa muda akakuta yule mrembo ame accept, la-zaidi ni kwamba, akaacha na sms kuwa "Ahsante kwa kuwa Rafiki yangu" Jamaa alifurahi sana kukubaliwa Urafiki huku akijua amelamba Dume.
Huku akiendelea kujiuliza uliza maswali ghafla alimuona msichana yule yupo Online. Furaha yake ilizidi bila Kuchelewa walianza kuchat na kuanza kufahamiana Mdogo mdogo.
Baada ya mwezi kupita Jamaa alizidi kunogewa huku mwanamke akionyesha mwelekeo wa kukubali mwishowe kupeana namba za simu.waliahidiana kukutana katika baa fulani iliypo Uswahilini, ingawa jamaa hakumuamini mwanamke na kutilia shaka kwa uzuri wote ule haiwezekani mwanamke kukaa uswazi. Kwa kuwa Tamaa zilimjaa baada ya mwanamke kuingia kwenye 18 zake, alijisemea Moyoni " Leo lazima Nijitwalie kitoweo hiki"
Baada dakika kupita aliwasili kwenye eneo la tukio huku akiwa na Furaha sana ya kukutana na Mrembo ambaye hajawahi kumuona katika maisha yake yote! Simu aliyoishika Mkononi alianza kuita kuashiria mtu kupiga, .... Hatimae yeye alikuwa yule mwanamke, mwanamke alimpa maelekezo kutoka pale alipokuwa kwamba asogee karibu na baa iliyo mbele yake, " Kumbuka mda huo ilikuwa kama majira ya saa 4:45 usiku." jamaa alijitahidi huku akiwa na imani leo anaenda kufaidi.
baada ya muda kidogo jamaa anawasili kwenye eneo la tukio, Huku akiinua Nokia yake akitaka kumpigia tena yule mwanamke. La ha ula!!!! Walitokea Vijana wa wanne walioshiba, majitu yenye miraba minne, akiwa maezingirwa mbele na Nyuma. Kwa hofu huku akitetemeka simu ilipokelewa paleple mbele yake. alishangaa kuona kumbe eliyekuwa anachat nae kwa Muda wote huo zilikuwa ni njemba hizo Nne. (Njemba hizi alikuwepo mmjoja wapo ambaye alikuwa na Mchezo wa kubadili sauti kama ya kike) ambaye ndiye aliyekuwa akiwasiliana naye mpaka kufika eneo la Tukio Alianza kupokea kichapo huku asijue pa kukimbilia kutokana na Giza lililokuwa eneo hilo.
Ngumi makofi ya haja yalimshukia Mwilini mwake, katika Hali ya kujitetea aliishiwa Nguvu, manjemba hao alichokifanya ni kuanza Kumla mpaka haja yao ilipoisha. ilopokaribia Mida ya saa 7 usiku wale jamaa walipotelea katika Giza nene na kumuacha akiwa katika hali mbaya ya kutojitambua.
FUNZO: Angalieni sana watu wa mitandao ya kijamii, yasije yakakukuta kama yaliyomkuta huyu jamaa.