Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,684
Elimu za unyago na jando zimekufa ndio maana vijana wengi hata hawana ufahamu na elimu ya mapenzi, uzazi na kijitambua.
Sehemu pekee ambapo limekuwa ni kimbilio la vijana na changamoto zao ni MMU.
Ndio maana wengi wanakuja na maswali ya kijinga (Kwa mtazamo wa watu wazima) lakini ukweli ni kwamba lazima tuwavumilie, tuwasikilize, tuwashauri vyema na kuwapa muongozo.
Kuna binti ni muulizaji mzuri sana wa maswali ya kitoto hapa jukwaani, sikujua kuwa ndio kale katoto ka rafiki yangu.
Kuna mvulana mwingi utambulisho wake mimi ni yule mvulana niliyetahiriwa juzijuzi
, je kwa utambulisho huo unadhani ana umri gani?
Mungu atusaidie atupe hekima ya kuwaongoza vijana wetu hawa.