Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi mtu yeyote maarufu hasa mwanamuziki anaweza kumudu kubaki njia kuu, Kuna njemba moja mtaani inanisumbua kweli eti inamapenzi na mimi,Nimeingiwa na wasiswasi hawa na wale wale wa "Hit en Run"...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimegundua wanawake wengi siku hizi wanachuna kwa style ya kuomba offer za lunch,dinner,beer na lift yaani hawapigi mizinga mikubwa sana,,,,,ili mradi tu apate mtu wa kumpa hivi vitu unamtafuna...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Unaweza kujikuta kuna mtu unamchukia bila sababu na yeye pia anakuchukia.Yaani mnachukiana bila sababu na hamko compatible kabisa ila mnakutana kila wakat.Hamuongei mengi labda ya lazima au endapo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nikakutana na huyu binti bana, moyo ukamdondokea kijana nikajitahidi nikatoa la moyoni. Kwa wakati huo alikuwa anasoma akanambia hawezi kuingia kwenye mahusiano akiwa bado mwanafunzi. Mtu mzima...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii sasa ni hatari, hivi nini kinachoendelea katika hii jamii? Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa? Ni...
2 Reactions
95 Replies
14K Views
Ilikuwa ni jana baada ya kurudi kazini, nikiwa nimejipumzisha ndani huku nikisoma magazeti mbalimbali kupata habari za huku na kule kwa undani zaidi, naweza kusema mahali ninapoishi pembeni kuna...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Utakuta Mdada hana kazi wala nn? Kapanga Chumba au Vyumba Sinza, K'nyama, Mbezi nk fully furnished.. Iphone ya hatari full loaded muda wote.. Kila dakika siku iko busy kama opereta wa posta...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Mwezi wa nane mwanzoni niliandika uzi wa kuomba ushauri kuhusu mke wangu kunibania unyumba takribani mwaka mmoja, nilikusanya mawazo yenu yote japo wapo walionikejeli na kuyatumia katika harakati...
16 Reactions
70 Replies
5K Views
Habari zenu wapendwa mimi kama mnavyonijua na mtakuwa mmesoma mengi kuhusu mimi na mume wangu yote aliyonifanyia na bado yuko vilevile kuniacha hataki kanitundika tu kama mzigo ye yuko pale pale...
2 Reactions
134 Replies
20K Views
Mimi naomba kujua ni kwa nini wanaume wanapenda kubadilisha badilisha wanawake kama nguo? Kwani haiwezekani mwanaume akatulia na m/mke mmoja? Vivyo hivyo kwa wanawake pia. Naomba kujuzwa wana MMU.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU. Nina mpenzi wangu ni miezi 6 sasa nimekua nikimgegeda kwenye giza tuu hataki tufanye kwenye mwanga.. Kwa nini hili jamani?
0 Reactions
100 Replies
16K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliachana na mwanamke niliyedumu nae kwa miaka 3 iliniuma sana baada ya kunisaliti nimekuwa mpweke sana lakin inatosha nahitaji bint mbichi wa kunipa mapenzi matamu...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Nilikuwa na mpenzi wangu tulisoma wote chuoni na tulipendana sana kiasi kwamba nilikuwa namgaramia kwa kiasi kikubwa na kuna kipindi aliumwa akalazwa hospitalini mimi nikawa siattend vipindi kwa...
1 Reactions
120 Replies
16K Views
Mm ni kijana mwenye miaka 26 naishi mby ninahitaji msichana wa kuwa mchumba wangu and then tuoane sifa zangu umri 26yrs mrefu wa wastani nimeokoka mpenda maendelo/kijituma sifa...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Jamani kinadada hakuna kitu kinaniboa kama hizi lipshine na lipstiky yaan mkishazipaka baada ya muda kidogo huwa kuna utando mweupe ka maziwa mgando hutokea kwenye lips hasa asipoongea kwa muda...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Kiuweli kuna jirani zangu hapa wanawafedhehesha na kuwadharirisha sana watoto wao kwa tabia yao hii, watoto wanaona aibu sana ilhali wazazi wamerelax na kufanya yao. Sasa sijui wako sawa kwa hili...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habarini wakaka na wataalamu wengine, nimekuwa nikijiuliza sana hivi ni kweli kunavyokaribia kukucha ni lazima jogoo asimame? •Je katika hali hiyo huwa mnajisikia kukutana na mwanamke?kama...
0 Reactions
89 Replies
11K Views
Kama kuna dada anaona yupo mpweke na anahitaji kampani ya ukweli this weekend, plz pm, mimi niko dar.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni kwamba toka nakua mpaka nimekuwa mtu mzima katika mchezo wa ujana nimekutana na wanawake wengi,na napenda pia niseme kabila langu si mpare wala mchaga ila ki ukweli tanzania hii kwa wanawake...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Madada waache kutanguliza pesa katika mahusiano
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom