Wanawake nguvu hii inatoka wapi?

Wanawake nguvu hii inatoka wapi?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,251
Reaction score
11,926
Tangu mke wangu anizalie mtoto imetokea kumpenda zaidi na sijawahi data kwa kiasi hiki,hivi na nyie wadada mtu akikupa mimba na mkawa na mtoto upendo unaongezeka?
 
Maajabu ya Mungu..and the pride unayojisikia kuona una uwezo wa kuzalisha mwanamke..
Mi mwenyewe can't wait jmn...
 
Hongera! Wengine ndo wanaanzaga michepuko!!
 
Mi naamini kabisa mkipeana mimba mkiwa kwenye ndoa, ile furaha ya tunda mlilovuna huwa haina mfano. Just as God intended.
 
kupenda ni moyo... kila mtu ana wake!
 
Maajabu ya Mungu..and the pride unayojisikia kuona una uwezo wa kuzalisha mwanamke..
Mi mwenyewe can't wait jmn...

are you single???

yahhh..weka picha pls hahhah,

1005555_398280476948939_1479310207_n.jpg
 
itakua first born wako huyo?? hongera mkuu
ngoja akikuzaliwa wa nne..utakuja na thread vice versa:biggrin1:
 
Nimeishuhudia hii jaman baada ya kujifungu aisee upendo umeongezeka sana mara dufu yan sio yeye tu kunipenda hata mim kumpenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom