Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Yapata saa mbili asubuhi ya leo ndipo niliweza kwenda. Watu bwana nmekimbia kuanzia kuanzia moshono mpaka kijenge nakapita keepreft nikanyoosha mpaka njiro. Ha ha haaa. Chezea mie ww - mtot mkali yule lakin ananukia majani ya chai spea tair na mpira