Vivian popote ulipo plz back to me!!!

Vivian popote ulipo plz back to me!!!

nyege bana haya lipia tangazo hlo na mwambie mode akuverify
 
Yaan kiingilishi km cha obama kabisa!!
 
Vivian wa Arusha Mianzini where a u know?? I still you missing best.----is me Mustafa!!

Wakalimani wangu Karucee na Heaven on Earth hebu chapchap sana kujeni pande hii mnitafsirie hii kinglish cha kigalatia. Mie nlisomaga kiinglish cha kinyerere. Hii haikuwepo kwa silabasi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Vivian wa Arusha Mianzini where a u know?? I still you missing best.----is me Mustafa!!

Kama ulikuwa unamwandikia sms za lugha hii, sioni shaka kwa nini unamtafuta na sidhani kama yupo karibu kihivyo. Utasota sana kusubiri embe kwenye mwarobaini jaribu mnaenena lugha moja.
 
Cc: vivian...kumbe ulivyotoroka kwangu ulihamia Arusha!???
 
Last edited by a moderator:
Livu mai mshiki vivian alon yuu andragradyuet bazazi.

Ahahaha....kwaiyo na wewe unamtaka viviani wangu pia!!!! Sawa postgraduetibazazi...infakti mimi nilidisko!!!!

"Sheila sheila, nionee huruma kwani moyo unaniuma wengi wapo wanakupenda niachie huyu amenipenda.sheilaaa, oooh sheilaaaaaa... " <...am just singing...>
 
Umejianika mapema ungeacha aje speed angekupm tu!
 
Vivian wa Arusha Mianzini where a u know?? I still you missing best.----is me Mustafa!!
Hata kama yupo kwa kingereza uchwara kama hicho,ataogopaje chariii angu,wenge naaje
 
Moderator naomba ruksa yako kwa leo nimpongeze kikariakoo huyu Mustafa.
 
Bravooo mustafa ntakupeleka China ukawe mkalimani kumbe lugha ya kigalatia unaijua vizuri
 
Back
Top Bottom