Neno nakupenda

Neno nakupenda

hili swali lilishatoka muda mrefu sana humu humu mmu
sasa nashangaa umelikopi na kuli:A S 465::A S 465: hapa

wengine hatunaga lugha zaidi ya kiswahili
 
Nkuhancheree... Wapi Excel

hahahaaa!!! mamii nimekulikumbuka sana hilo neno! '' nenkohanhere ono mwiseke.. tamasaha omoyo ghone ghote ghoghwi tebheta ghwitimo''! lols! hapo mtoto wa kike hachomoki kulaleki...!!!..

wahaya wanasema.. '' ninkwenda KOKUTONA'' lols! hii ilinisaidia sana wakati niko vitani Bukoba!

mpaka leo natafutwa eti niende muleba kuoa jamani!... cc.. KOKUTONA n kyanaKyoMuhaya! molinka wakazi wange? lols! ... moli balungi sana..! mwamanya kweli hilo?

hahahaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom