Idadi ya mashoga yaongezeka nchini

Idadi ya mashoga yaongezeka nchini

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Habari yenu wana JF

Asubuhi ya Leo nashawishika kuandika juu ya tafiti chache zilizofanyika Tanzania mwishoni mwa mwaka jana na majibu kutoka mwanzoni mwa mwaka huu 2014.

Tafiti ililenga hasa kujua wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.

Baadhi ya majibu yako ivi:
70% ya wanaume walio hojiwa wanashiriki mapenzi na wanaume wenzao"! Kati ya hao 23% wana familia (wameoa na wana watoto).

Hoja yangu kwenu ni kuwa hali hii huja vipi kwa mwanaume kumtamani mwanaume mwenzie?

Yaani mwanaume anachepuka kwenda kwa mwanaume mwenzie huku amemwacha mkewe nyumbani!

Kwa wadada; ukigundua mmeo yuko ivo utafanyaje?

Nawasilisha!
 
AISEEEEEEEE
993988_395268967250090_868010867_n.jpg
600986_395111457265841_16957913_n.jpg
 
Acha kupiga promo!kama wewe ni shoga usidanganye watu eti 70% ya wanaume wanashiriki!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
70% ya waliohojiwa? Kwani walihojiwa watu wenye sifa zipi ni mtu yeyote tu au mwenye muonekano wa kipunga? Kama ni mtu yeyote basi huo ni uongo mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania.
 
Mbna hizi tafiti za uongo siku hizi zimekua nyingi? Afu 70% usifanye mchezo ya wanaume wote, unaeza ukakuta hata baba mkwe wako yuko humo..
 
Utafiti huu wa 70% Umefanyika ndani ya Familia gani? Maana hata huko Uingereza haijafikia hivyo. Katika ngazi ya Familia husika Labda. Maana kama Familia ina Vidume vinne na Vitatu vinaliwa kiboga, hiyo ni 75%.
 
Ni wengi kuliko tunavyofikiria wengine wakiwa ni watu wenye heshima kubwa na mamlaka katika jamii
 
Kuna ukweli jaman! Jana jion mida ya saa kumi nambili nilipita stend hais ya morogoro nikakuta kundi kubwa la madreva na makonda wamewazingira vijana wawili ambao nao ni wenzao wamewafumania wakifanya ufiraun kwenye daladala....... Ukimuangalia aliyekuwa nahemewa ni kijana mwenye nguvu kabisa na huwez amin kama ni mshiriki wa hayo mambo....... Hvyo kuna watu na heshima zao lakin wanagegedwa. Dunia imekwisha jaman
 
Kama kumbu kumbu zangu zipo sahihi, matokeo ya utafiti yalikuwa yanasema kwamba asilimia 70 kati ya wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia walihojiwa na asilimia 23 walikiri kuwa na wameoa na wanafamilia pia.. Hakuwezi kuwa na 70% ya wanaume wa tanzania wanashiriki mapenzi na wanaume wenzao.

Kusoma matokea ya utafiti ni taaluma pia
 
Back
Top Bottom