Bora niulize tu ilinipate msaada ingawa naweza kuonekana kama mshamba.

Bora niulize tu ilinipate msaada ingawa naweza kuonekana kama mshamba.

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Heshima na zenu wakuu sio siri ninahamu kubwa kuingia JUKWAA LA WAKUBWA lakini nashindwa.Kwani kuna mambo yamenisibu ambayo sio vizuri kueleza humu.Hivi mpaka uingie jukwaa la wakubwa itakubidi uwe na umri gani? je huu mimi namiaka 22 je kwa umri huu siruhusiwi kuingia jukwaa la wakubwa.Kwa wanaofahamu taarifa hizi naomba wanisaidie maana nimejaribu njiambalimbali lakini nimeshindwa kuingi.Yamenikuta mwenzenu.Au wale ambao ni wanachama wa muda mrefu ndo huwa wanapewa access ya kuingia jukwaa la wakubwa.Kuna mtu aliniambia ukiwa senier member unakuwa na uwezo wa kuingia hili jukwaa.lakini nashangaa nashindwa.
 
mh....hivi siku hizi kuna siri naona kila kitu kinajaadiliwa jukwaa hili...Funguka tu kijana eleza tatizo lako!!
 
mh....hivi siku hizi kuna siri naona kila kitu kinajaadiliwa jukwaa hili...Funguka tu kijana eleza tatizo lako!!

Usimkatishe tamaa labda kasikia huko kuna uhondo zaidi
 
Yani na uexpert wangu wote, sijui kama kuna jukwaa la wakubwa!
 
M-pm invisible na umuombe akuingze,,myb atakupa hyo chance
 
Unatakiwa kuingia ukiwa na miaka 7N ukifikisha 18 hurusiwi, unakuwa ushakubuhu.
 
Umri bado mdogo....
Ni mpaka ufikishe miaka 41.
 
Kule kuna members ambao uwezi kuwakuta jukwaa lingine lolote. Namsikitikia mademe B kalowea huko huko siku hizi. Je wewe unataka kuingia huko, ulikwisha wahi kuona coment ya funza dume kokote? Jukwaa lile ukiingia ni sawasawa na kana kwamba umeanza kutumia madawa ya kulevya, ukisalimika kuwa active majukwaa mengine wewe hodari
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom