kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Baada ya tendo la ndoa mwanaume upendelea kulala. Kwa mwanamke ni tofauti, yeye baada ya tendo la ndoa anapendelea mpenzi wake aendelee kumkukumbatia kwa dakika kazaa. Wanapenda kusikia neno Asante au Nakupenda . Wanawake wengi wanasema, baada ya mwanaume kukojoa, anageuka upande mwingine na anaamua kulala usingizi. Wanasema wanajaribu kutojisikia kuumia moyoni ila wanajiuliza "ANANIPENDA KWELI MIMI"
Mwanaume sikia, Baada ya kumaliza tendo la ndoa chukuwa muda wa ziada kumkumbatia mpenzi wako na umwambie nakupenda. Mda mfupi atajisikia tayari kulala, kisha nyinyi nyote wawili mtalala kwa pamoja.
Natoa somo tu, ukitaka unaacha, ukitaka unachukuwa. Hapa tunatoa bure sehemu nyingine kwa pesa.