Habari zenu wana JF wote;
Hivi karibuni nilikwenda Ku-spend likizo mkoani kwetu,nikiwa huko nilishangaa kumwona mtoto wa dada yangu kwa mama mdogo akiwa na kichanga anakinyonyesha kwa kweli...
:A S 100:Naitwa ...........
ninamiaka 27, ni-naelimu ya stashada(Ordinary diploma) ktk field ya engineering.
natafuta msichana/mwanamke
sitamkagua vyeti kujua ana elimu kiasi gani bt uelewa...
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na matatizo ya kindoa tafadhali aje "PRIVATE" Anisaidie..Samahani sana hii ni critical issue na inahitaji watu wazima wenye nia safi ya kusaidia mtu wala sio kumdhiahaki!
Hodi humu ndani wanajamvi natumai mko poa!
Ebwana kuna binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka na miezi miwili hivi mpaka sasa.
Katika ndani ya huu muda nimeachana nae kama mara 8 hivi na...
Please someone tell me where true love disappeared to. I overheard some two guys today saying that if they were to date a lady or look for a woman to marry, she must be having good money or coming...
Mi ni mvulana wa 26yrs,urefu futi 5.5,ni Muslim, Elimu Bachelor,nimfanya kazi na naishi Dsm,
Natafuta mke half caste mweny elimu ya kidato cha 4 au 6,
Urefu atleast futi 5.4 - 5.6, awe...
habari zenu wana MMU
Najuta kusema uongo na tamaa yangu ya mapenzi, mimi ni kijana wa kiume sijaoa nafanya kazi na kampuni fulani hapa rocky city. Mwezi januari nilihama sehemu niliyokuwa...
Hii imemtokea rafiki yangu kipenzi, Jana aliniomba nimsindikize Lenana Hotel jioni akisema kuwa kuna binti kampenda sana sasa anataka amweleze intention yake ya kumuoa, mimi nikamsindikiza, kufika...
Watu wengi husema kuwa mapenzi ni hisia. Sikatai wa sikubaliani na mawazo haya. La hasha, sijafanyia utafiti wa kutosha juu ya hili! Ila katika uchunguzi niliofanya kuhusu mahusiano ya mapenzi...
1.Alikua chotara mreombo mwenye nywele kama jini shena la mzizi mkavu katika hadithi ya mimba ya jini
2. Alikua na wanaume watano waliompenda na akawapenda kwa dhati kabisa
3. wote wanaume...
Natafuta msichana wa kuwa mchumba wangu then tukifikia muafaka nitamuoa
Umri 18-25
Mrefu
Black beauty
Elimu angalau form four
Tabia nzuri
Contacts me soon
Kila mzazi au mlezi ana nafasi yake kuongoza katika ufanyaji wa kila kitu ndani ya familia yake. Kuna mwongozo wa mavazi, kuna mwongozi wa kula, kuzungumza, hata saa za kurudi nyumbani.
Katika...
A). SIMU YA MKONI
1. Simu nyingi zinazo pigwa nizakuomba Msaada wa Kifedha. Mfano zaidi ya Simu kumi kwa siku.
2. Wanandoa na wenza wengi hupata wakati mgumu sana kufanya mawasiliano ya simu...
Nilipokua chuoni alikuwepo demu mmoja niliyemuacha mwaka mmoja nyuma,wakati nilipomjua alikua anagegedwa na Lecturer wazi kabisa kila mmoja akawa anajua, me ckujali nikajitosa kwa utelezi wa room...
Habari wana jamii, #
Naomba niwaelezee ya ukweli yaliyonitokea sku c nyingi kwa my ex.
Nakumbuka nlimpenda sana ila naweza sema alikua chanzo cha kuvunja mahusiano yetu ingawa hadi leo...
Habarini wadau wa jukwaa hili pendwa, napenda kutumia fursa hii kwanza kuwajulisha kuwa mi ni mgeni au unaweza sema kuwa ni mpya katika jukwaa hili
Jamani kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta...
Jamani ni hv, nina mpenzi wangu ambae anaishi maeneo ambayo wa2 wanapachukulia kama pabaya means social cervices hazipatikan ss marafiki ninaoish nao kila lililobaya wanaelekezea huko mara oh mimi...
Naitaji maombi yenu dhidi ya huyu shetani. Nimeokoka jana nikapokelewa kwa fujo na nderemo toka katika familia yangu pamoja na majirani. Saa saba usiku nimerudi tilalila vibaya sana. Kisa kilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.