Mwanzoni mwa mahusiano watu huitana "baby", "honey" nyingi lakini hupungua kadiri muda unavyosogea. Je ni nini husababisha hili? Je wewe bado unaitwa baby? Na umedumu muda gani kuitwa baby/honey?
Kipya kinyemi babu wee..! Akha hebu acha tujiachie hujui kuitwa bebi kuna raha na ladha zake ???
Mwanzoni mwa mahusiano watu huitana "baby", "honey" nyingi lakini hupungua kadiri muda unavyosogea. Je ni nini husababisha hili? Je wewe bado unaitwa baby? Na umedumu muda gani kuitwa baby/honey?
Vipi kaka, mbona umeandika "kitofauti" sana leo?Kipya kinyemi babu wee..! Akha hebu acha tujiachie hujui kuitwa bebi kuna raha na ladha zake ???
hiyo tunaita utility na disutility katika mapenzi....
mwanamke mpya huwa ana utility kubwa sana.. hivyo zile ambo ze Te amo kuanzia saa nne usiku kama ilivyo ada, message za goodmorning ba bebi umekula nini wakati hujamtumia hata mia, huwa ni nyingi sana...
lakini disutility huja baada ya kuwa mmejenga mazingira ya kuchujana, hapo hata text ya goodmorning inaweza kujibiwa wakati wa goodafternoon!... reason: baby I was busy!! another reason: ushakula mzigo kitaaaaambo!
cha kufanya tu ni kujua njia za kuboresha love affair yenu kiujumla!
Mimi my Daddy and Mummy bado wananiita Baby hadi leo..... tena asubuhi naulizwa "Baby huendi kazini".
Tena ukute kuna nyuki karibu... halafu wawe wanajua kiingereza kama honey ni asali... weeee! utaisoma nambaNi raha aisee ushafika nje unaskia sauti yakike inakuita "honeeeeeey" hahahha