Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,kupendelea sana kuangalia picha za uchi,Kusahausahau,Kupendelea...
Haya wakubwa mi nakumbushia tu maana wajinga bado wapo kutokana na changamoto za hapa na pale katika kupata elimu, hivyo wasije kukusumbua. Maisha magumu na stress zimejaa tele, mjinga naye...
Anaye wajua vizuri please anisaidie, kuna binamu yangu kampata huko songea sasa kanipigia simu kuwa anataka kumleta home kumtambulisha, vipi tabia zao common?
Usimuulize mpenzi wako wanaume wangapi ametembea nao.
Usimuulizen mpenzi wako kama alikwisha wahi kutoa mimba.
Yeye ndiye mwenye kuamuwa kama akueleze endapo moja kati ya exes wake ni ndugu yako...
Habari za majukumu wana JF.
Mwanaume baba yake alifariki akiwa na umri wa miaka 3, kwenye upasuaji ambapo alipoingia operation hakutoka na ndiyo ukawa mwisho wa maisha yake. Ukizingatia kuwa...
Kwa kuangalia idadi ya watu wanaoathirika kufuatia kuvunjika kwa uhusiano kati ya mwanamke na mwanaume mtu atagundua kwamba wanawake ndiyo ambao hupatwa na athari kubwa zaidi. Kwa mfano ukichukua...
Mwinuke zeze wabwanga na wandeee!
Kuna uzi nimeuona mdau anaulizia kama mikao ya kula pilau inawezakupelekea kuzaa mtotomwenye akili (sijui kuweka link mshamba mie ningewawekea) kwa faida ya...
Hivi leo hii mtu kama anakupenda siku tatu hamja wasiliana anakwambie bize hakupendi kuna njia nyingi tu hata bila kuonana na ukatambua unapendwa tafuta anae kupenda sio kukuzingua.
Kwako wewe mpenzi wangu mpya hapa mjini. mie nimefalli in love halafu wewe unanipotezea. halafu wajifanya wanipenda. kwanza mie najitambua bora nibaki njia kuu ti japo haina lami
Wadau,wanandoa wengi siku hizi hii hesabu ya mke na mume kuwa mwili mmoja ni ngumu sana kwao.Kila mtu anafanya yake kikubwa jina 'mke au mume' wa fulani.Hata hizi haki sawa hawazungumzii jambo...
Nina mjomba wangu wa kike anaesoma form three,amekuwa na mtindo wa kutoroka na kwenda kwa jamaa ake usiku kila mara pasipo sie kujua sasa tumeligundua na kuwafumania huo usiku na mpaka sasa hivi...
Six months into our marriage, but no sex yet
I have been married for six months now, but have not had sex with my husband. I am one of those that decided to abstain from sex till marriage. What...
Nimegundua kuwa wanandoa wengi wanaogombana au kuachana walikuwa hawafahamiani vema wakati wa uchumba,
Suala la kuoa/kuolewa ni kama ujasusi, ambapo mtu analazimika kutafuta habari za upande wa...
Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa mpenzi wako mahaba-niue niteketeze kabisa yenye megawati za kumtosha kuendesha mitambo ya furaha kwenye Moyo wake...ukishindwa kumpatia lazima atakutafutia...
Hi,
Pole na pilika pilika za siku hasa hapa tunapoelekea weekend na mvua izi zinazonyesha mda wa usiku ndo balaa!sijui sie walala nje weekend ikinyesha itakwaje..
Back to point, I stand to...
Habari ndiyo hiyo.
Kuna watu wajinga sana eti anasema kabisa mbele za watu hawa watoto wa kike ambao ni wanafunzi wa sekondari na msingi wanampenda sana na anawashughulikia kweli.
Sasa nawapa...
Wapendwa wadada wa siku hizi mmekaa kibiashara sana,unamkuta dada umempenda na kumtangazia ndoa anakuuli kwani dear kwenu mko wangapi?sasa mtu kama huyu umjibu nini,kwani unaenda kuolewa na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.