Madhara utakayopata endapo hutofanya mapenzi muda mrefu

Madhara utakayopata endapo hutofanya mapenzi muda mrefu

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,710
Reaction score
2,387
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,kupendelea sana kuangalia picha za uchi,Kusahausahau,Kupendelea story za mapenzi,Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),Kuumwa na kichwa,Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.so tafuteni wenza kama umri unaruhusu.
 
  • Thanks
Reactions: p84
kudindisha dindisha hovyo barabarani kila uonapo bi dada amefungasha ......waweza hata gongwa na gari.....kujikwaaa ....na kuwaza KUVUKA BODAAAA
 
and too much of it...................
603110_537683786269320_1031868394_n.jpg
 
Kuchekacheka bila sababu especially wadada wa boarding.
 
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba
  • Ufafanuzi tafadhali. hapa bado sijakuelewa

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,kupendelea sana kuangalia picha za uchi,Kusahausahau,Kupendelea story za mapenzi,Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),Kuumwa na kichwa,Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.so tafuteni wenza kama umri unaruhusu
 
Sidhani kama kuna ukweli.... Tatizo hatujui pa kuyapeleka matatizo yetu tunaishia kuongozwa kwa hisia.
 
Zingine ni za kawaida tu waweza kudhibiti ukiamua mfano kuwa na hasira ukifanya mazoezi vizuri na kwa bidii ukawa na watu mnaongea mazoezini hasira hupungua Sana.kuangalia porn ni uamuzi waweza acha nimekaa bila msichana kwa Mda mrefu na bado naendelea kuwa hivyo sijajua Sana kwa Mda gani na Sioni kuwa na athari Kama hizo labda LA kuogopa wasichana warembo ambalo nilikuwa nalo nilipokuwa o level na advance nimekaa chuo finalist niko nao wala Sioni kuwaogopa tena (lambda na kaumri kanachangia)
 
..mbona mimi nina mdaaaaa, na niko vizuri tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom