Usipozingatia haya, utajuta kwanini ulioa/kuolewa

Usipozingatia haya, utajuta kwanini ulioa/kuolewa

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
333
Nimegundua kuwa wanandoa wengi wanaogombana au kuachana walikuwa hawafahamiani vema wakati wa uchumba,
Suala la kuoa/kuolewa ni kama ujasusi, ambapo mtu analazimika kutafuta habari za upande wa pili bila kujulikana,
Wanandoa wengi hufanya makosa wakati wa kuanza uhusiano, labda waliaminiana tu sababu ya wao kuwa watu dini moja, kabila nk.
Jambo la muhimu kabla ya kuanzisha uchumba jaribu kuangalia kwa siri mambo yafuatayo kwa mwenzako.
»Marafiki(tabia zao)?
»familia yao(ikoje)?
»watu wanamchukuliaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom