Ushauri wangu kwa vijana watakao kuingia katika ndoa

Ushauri wangu kwa vijana watakao kuingia katika ndoa

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Usimuulize mpenzi wako wanaume wangapi ametembea nao.
Usimuulizen mpenzi wako kama alikwisha wahi kutoa mimba.

Yeye ndiye mwenye kuamuwa kama akueleze endapo moja kati ya exes wake ni ndugu yako au rafiki yako wa sasa au rafiki wa zamani. Kuepusha shari kwa siku za mbele. Kama hamna hata moja umjuaye hana sababu ya kukueleza.

Kuhusu kutoa mimba, kama ameenda katika hatua za hatari anawajibu wa kukuambia ili pindi atakapo shika mimba uangalizi uwe mkubwa. Kama hamna case nyingine aina haja ya kumuuliza. Kama jambo hili linakusumbua sana kichwani ni vyema umwambie muuende wote kupima mbegu zenu kuona kwamba mtakuwa na uwezo wa kuzaa kabla ya kuoana.

Kama kila kitu kipo sawa haina haja ya kujua kama alikwisha wahi kutoa mimba ama laa
 
Hivo hizi ndoa zenye vurugu kama zimezaliwa kule mkoa jirani
wanandoa waliulizana hayo maswali?????
bado sana kupata dawa, ndoa ni kama ukimwi tu ina kinga haina tiba
 
Ndoa haina formula inategemea na bahati yako unaweza ukawwa umeingia cha kike au umeramba dume
 
Wasipojua itasaidia nini kwenye hizo ndoa zao?
 
Wasipojua itasaidia nini kwenye hizo ndoa zao?

Siku zote past is past. Ni vyema watu walio kwenye mahusiano waangalie mipangilio ya mbeleni. Siku zote ukweli unauma na ndio chanzo cha migogoro mingi katika mahusiano.
 
Hujatoa sababu, kwa nini nisiulize gf wangu kama ka abort ama mimba ilitoka? Kwa nini???
 
na unaweza ukauliza ukaambiwa ukweli au ukadanganywa vilevile
 
sijali hayo.. nikikuoa, nikikugundua tu ulishakurupua mtoto hata by guessing..

uko hatarini.. no mercy- for sure lazima nikusepeshe kwenu na ikiwezekana hutorudi kabisa!
 
mh!ndoa? ndoa? ndoa? yahitaji tu uwepo wa Mungu na ruhusa toka kwake kinyume na hapo hakuna mwenye solution tutajadili na majibu hakuna.
 
Mimi hata girlfriend huwa siulizi coz it doesn't matter and I don't really care. Ukishajua and then what? The past is the past.
 
Mmmmmhhhh,, hivi kumbe ni wewe.

Ngoja na mimi niongezee moja.

Usimuoe msichana uliekanae kwa muda mrefu kama girl friend.
 
Kama umetoa mimba, ushazaa sahau nikijua ndo mwisho
 
Mmmmmhhhh,, hivi kumbe ni wewe.

Ngoja na mimi niongezee moja.

Usimuoe msichana uliekanae kwa muda mrefu kama girl friend.

Kwa hiyo umeacha umasai now umekuwa mzungu koko.
 
na unaweza ukauliza ukaambiwa ukweli au ukadanganywa vilevile

Kwa sisi walimu tunapenda kutumia zaidi nyenzo za kufundishia...



Ushauri kwa vijana, msifanye mambo kwa pupa...
Mjiepusha na tamaa, za dunia... ooh...
Fanyeni mambo kwa mipango, sio mbio ...iyo...

Uwezo wako ni mdogo... watamani mambo makubwa...
Maovu mengi hufanyika juu ya tamaa zisizo na mpango..
Ulicho nacho ndio chako ujivunie na uridhike nacho..

Wacha ee... wacha ee.. wacha tamaa kijana..
Tamaa ee... mbaya ee.., ndio chanzo cha maovu...


Unaweza kumalizia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Unajua wanawake wangapi wametoa mimba zako kabla ya kuolewa na hao mabwana zao wa sasa? Ndivyo hivyo hivyo ambavyo huyo wa kwako wa sasa alitoa za vidume vyake vya zamani aolewe na wewe
 
Back
Top Bottom