Jamani naombeni kwa wale wadau wa muda na wenye ujuzi na mapenzi na mahusiano.
Mwanamke mwema unamjua kwa kutumia vigezo vp?
Halafu sijawa na utalam wa kutupia uzi yaani uzi wangu baada ya muda...
Salaamu wanajamvi,
Ikiwa leo ndio siku ile wanayoita ya wajinga duniani ilihali wote ni wajinga kila siku katika maeneo mbali mbali huku tukiendelea kujifunza.
Naomba nitoe angalizo leo kwamba...
Alikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea.
Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe.
sasa siku hizi ameanza kamchezo...
Nimekuwa nikifatilia kwa muda baadhi ya mada ambazo zinahusu mapenzi na ukabila huku baadhi ya watu wakipinga kwamba katika jamii yetu ya leo hatupaswi kuongelea masuala ya ukabila kwenye mapenzi...
Leo tar 31-03-2014
Mimi Amicus Curiae...
Nikiwa na akili timamu na pasipo kushinikizwa na mtu yoyote.
Naapa kuacha POMBE rasmi tarehe ya leo kwani nimegundua matumizi ya kileo ni ubatili mtupu...
Habari wapendwa, Natumai wazima,majukumu ni kawaida..
Wale wapenzi wa kuiba waume za watu/ Waume Msiotulia na wake zenu
Shostito anadate na mume wa mtu, kammiss jibaba na kuamua kumtext "...
Salaam wana JF ha ke kama nilivyokusudia kuuliza swali hili kupata kujuwa kitu kutoka kwao.
Hivi ni muda gani mnadhani unatosha kumfanyia vetting mwanaume ambaye anataka kukuoa ili ujiridhisha...
Habari za leo wana JF.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nimeajiriwa.
Tatizo ambalo ninalo ni kuhusu mpangaji mwanzangu (ke) kaambiwa natoka kimapenzi na hawara yake lakini ukweli huyo hawara yake...
wadau habarini!
jamani mwenzenu nina tatzo moja nikitokea kumpenda bint huwa nampenda sana na hufkia hatua ya hata yy kujua hisia zangu sana,na kngne naomb mnisaidie hl jambo kuwa nikimwambia...
Nimegundua kuwa wanandoa wengi wanaogombana au kuachana walikuwa hawafahamiani vema wakati wa uchumba,
Suala la kuoa/kuolewa ni kama ujasusi, ambapo mtu analazimika kutafuta habari za upande wa...
kuna mpangaji mmoja asubuhi kibiti cha mama mwenye nyumba wake kilionekana machoni kwa mama yake kikitokea geto kwa jamaa sasa mama mwenye nyumba akasikika akisema"jamani huyu mtoto masikin "...
Sioni kama hapa naweza kuwa na maneno yakukwambia kwani nikisema niongee nitakuwa namaliza bandwidth ya watu! maelezo muhimu ni kichwa cha habari.Maswali hayatajibiwa! ila ushahuri utapokelewa! Je...
Kuna watu walikuwa wadau wakubwa sana wa hili jukwaa. Usingeweza kumkosa mtu walau kila week. Ila kwa sasa wamepotea sana kiasi kwamba wanazua hali ya wasiwasi. Naomba tujaribu kupeana taarifa...
Kwa mtazamo wangu watu wasiokuwa na misimamo au wasiosimamia misimamo yao huwa hawababaishwi na mahusiano.
Mtu asiye na msimamo yupo tayari kwa lolote na wakati wowote.
Sometimes nahisi kama...
1. Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.