Namshukuru mdau aliyenipa ushauri huu kupitia pm na ameridhia kushare nanyi .
Kitu cha kwanza unachopaswa kuzingatia ni kutambua na kukubali kuwa kuna vitu ambavyo huwezi kuvibadilisha na hivyo...
Kwanza fahamu kuwa kama hujaona jambo au tukio fulani haimaanishi kuwa haliwezi kuwepo au kutokea
Maisa yana safari ndefu sana
Wakati mwingine ni fupi pia
Inategemea tu ni kwa kipimo kipi...
Ni jumapili nyingine tena ni siku ya kuabudu kwetu sie wakristo.
Hebu tupia hapa ulichofundishwa kanisani leo,au kitu chochote kilichojiri huko kanisani.
Tuifanye JF sehemu ambayo hata neno...
Kunakipindi mfalme sauli alikuwa ana tress wapambe wake wakamtafutia mwanamuziki (daudi) amliwaze. kwa hiyo muziki ni tiba ya tress toka zamani sana. mi nikiwa down napenda kusikiliza.
Hold on...
I wanna grow old with you
I wanna die lying in your arms
I wanna grow old with you
I wanna be looking in your eyes
I wanna be there for you
Sharing everything you do
I wanna grow old...
Najua ziko sababu zinazosababisha wanandoa kuchepuka nje ya ndoa zao. Naomba ndugu zangu kunipa sababu muonazo ndicho chanzo cha michepuko.Pili nini namna maridhawa kama ipo ya kuondoa michepuko...
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yang ana demu wake kwa kipindi cha miaka minne sasa katika kipindi hicho chote jamaa hajawahi kumkiss demu wake kwasababu lips za binti huyo zimefanana na baba...
Habari wadau wa jukwaa hili, kipindi cha nyuma kidogo tulishuhudia namna simu zilivyokuwa zinanasa wanamichepuo hasa kwa njia ya ujumbe mfupi, yaani SMS.
Tofauti na sasa baada ya kuwepo mitandao...
Wazazi wengi hupinga watoto wao kuoa mapema ili wafaidike na mapato ya watoto yao zaidi wanasahau kua ni ngumu kwa mtoto wake kuwa peke yake hata kama hataki aoe zaidi mtoto huishia kulamba watoto...
Mapenzi ni tunu bora mno katika maisha ya mwanadam.Wanafasihi hudai kuwa mambo matatu makuu huongeza muda wa kuishi duniani/kurefusha maisha,mambo hayo ni mapenzi mema,kazi za kifasihi na mwisho...
Jamani wathirika wakubwa wa social media ni wabidada! unajua nini leo nilipanda daladala nikakaa seat ya nyuma mbele yangu kuna mzee misiri ya Mh. wsr anachat na mrembo whatsup anamrushia verse na...
Kuna siku nilikuwa naangalia kipindi cha cops nikaona jamaa amekamatwa na polisi kipindi anapelekwa kwenye gari akagundua mkewe anahusika na kukamatwa kwake jamaa akamwambia nakupenda mke Wangu...
nilikuwa na mpenzi wang ...kiukweli nili mchoka baada kuwa na mpnz wang mpya..mana kila nilipo taka kufanya nae mapenzi alikuwa anakuja..namfulisha..namkalipia..yani in short nilikuwa namuendesha...
Habari wana Jukwaa.
Kumekua na katabia kwa wapenzi kupigana picha za utupu.. tena ukitegaemea wamekutana siku mbili tatu na kuenda kukugegedana..
Basi bidada ananza kujiachia na kupigqa mipicha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.