Sipendi kuulizwa eti ''kwenu mko wangapi''

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,826
Reaction score
140,872
Wapendwa wadada wa siku hizi mmekaa kibiashara sana,unamkuta dada umempenda na kumtangazia ndoa anakuuli kwani dear kwenu mko wangapi?sasa mtu kama huyu umjibu nini,kwani unaenda kuolewa na watu wote wa home.Sasa kama kwetu tupo 100 we inakuhusu nini.acheni tabia za kuiga.bongo extended family ndo mpango
 
sasa kinachokuumiza akili ni nn? We mpe jibu unaloweza kumjibu.......
 
Hili swali linaubaya gani sasa? On the contrary it is men who ask this question the most, likely out of fear of being overburdened with expenses. men knows how to take themselves of bankers however poor they could be.
 
ni swali zuri tu labda huwa unajistukia vile mpo wengi sana.
 
Sasa hapo unakereka nini! !!!
Unaogopa hata kusema kaka na dada zako???!!!!

Mie huuliza hata elimu na shughuli zao kimaisha!!!!!
 
mia.

nalogoff.

avatar59140_3.gif
 
hehehe! wenzie tunauliza mpaka vipato vyao kwa mwezi. halafu tukishajua wapo wangap tunauliza kama yy ni first born au lah. kama ni first born tongozo lake lazma lipate muda mrefu wa kufikiriwa haswa kama wapo wengi.
Ndio hapo sasa mambo ya kuingia ukoo huujui we kila siku huyu dada huyu kaka sijui huyu nani! !!!!!

Unajua hapa naoa dada na ana wadogo watatu baaas hao wengine wataokuja baadae unajua ni hiari sasa kuwaweka wapi! !!! Sio kila uchao unatambulishwa tuuuuuuuu mpaka unapauka!!!
 
umeona eeeh! mwisho anakuletea kichenchede chake anakwambia huyu ndugu yangu. muhimu sana kujua watu wanaomuhusu mpenz wako haswa kama mna mipango endelevu.
 
Hata kama juu kwa juu we uliza tu hadi close friends we ulizia japo majina na wanapokaa hata shughuli zao mambo ya kuambiwa nipo kwa salama kumbe kwa salum utayabaini vipi bila kujua close associates wa mpenzi wako!!!!!

Mtu alishakuambia Arusha hana ndugu wala rafiki ghafla oooonh naenda Arusha kwa aunt!!!!! Yupi tena? ???!!!
 
sante sana kwa kunipa maujanja olesaidimu ila mie najua kila kitu mpaka mshahara wake wa mwezi na ukoo mzima mpaka waliokufa nimetajiwa majina.
 
We ulizia tu hata fundi aliyejenga uzio kwao hakuna ubaya kuwa na taarifa usiyoihitaji ila utakoma siku ukihitaji taarifa halafu usiwe nayo!!!!!!

Unaonekana zuzu kabiasa mpenda kuvua kufuli wakati huna taarifa!!!!
 
mimi nachukia kuulizwa wewe kabila gani/ wewe mtu wa wapi? hilo swali huwa linaniudhi sana maana watu wengi sana wananiuliza mpaka nachoka.
 
Hilo swali ni zuri kwa kuwa watu wanaogopa baadhi ya makabila ambayo huwatanguliza mbele ya haki wanaume mara wapatapo pesa.

Back
Top Bottom