Je 1+1= 1 katika ndoa inawezekana?

Je 1+1= 1 katika ndoa inawezekana?

Doyyi

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
61
Reaction score
36
Wadau,wanandoa wengi siku hizi hii hesabu ya mke na mume kuwa mwili mmoja ni ngumu sana kwao.Kila mtu anafanya yake kikubwa jina 'mke au mume' wa fulani.Hata hizi haki sawa hawazungumzii jambo hili..Nitaongea mengi,nini kifanyike jamani ndoa nyingi zilione hili?
 
kuna baadhi ya dini zinachangia hilo lisiwezekane hasa zile zinazoruhusu talaka. ukiolewa au kuoa mtu wa dini hizo unakuwa mguu ndani mguu nje coz muda na wakati wowote kinaweza kunuka.
 
Inawezekana pale tu kila mtu atakapokubali kubeba madhaifu ya mwenzie.
 
Hapa naweza kusema kote kuna shida ya maji - iwe kiumeni au kikeni
 
Hiyo ni nadharia zaidi... Biologically haiwezekani
Hata spiritually, siku mkifa kila mmoja atahukumiwa kivyake...
 
Wadau,wanandoa wengi siku hizi hii hesabu ya mke na mume kuwa mwili mmoja ni ngumu sana kwao.Kila mtu anafanya yake kikubwa jina 'mke au mume' wa fulani.Hata hizi haki sawa hawazungumzii jambo hili..Nitaongea mengi,nini kifanyike jamani ndoa nyingi zilione hili?
manamba pia yupo kwenye mapenzi...
 
Hakuna cha mwili mmoja hapo tumemezeshwa so inamaana mmoja akifa unabaki nusu.
 
hiyo avatar ya leo duu imenifanya nilichotaka kuandika kimepotea
bila shaka ulitaka kumwambia excel ni jinsi gani unavyomzimia!! i guess this..

i see how fast your heart beats beacause of this younman! lol
 
Back
Top Bottom