Wasichana wa Kingoni.....

Wasichana wa Kingoni.....

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,851
Anaye wajua vizuri please anisaidie, kuna binamu yangu kampata huko songea sasa kanipigia simu kuwa anataka kumleta home kumtambulisha, vipi tabia zao common?
 
Wasichana wote wa Tanzania wana tabia sawa isipokuwa kinachowatofautisha ni wasichana wanaomjua Mungu na wasichana wasiomjua Mungu.Ukitumia kriteria hiyo utakuwa salama lakini ukibase kwenye ukabila hutafika mbali
 
namshukuru Mungu kumpata mngoni sikutegemea ningebarikiwa namna hii......kabila langu wote waliutesa mtima
 
Oh my gosh! Hakuna mbebez wabovu kama hao!..ni weusi tiii!...wafupi kama kishungi!..maumboless!....wengi wana vitambi na hawajui kusoma! Infact ni super vinyagoz you know!!
 
ndoa za siku hizi ni majanga matupu...

mnapatana barabarani, hamjajuana mbele wala nyuma, mnaoana!

baada ya mwezi utasikia wameachana though walipendana sana!

sometimes tukubali tu wazazi wetu kutuchagulia wake kwa sababu sisi tunafanya ujinga kwa nafasi tuliyopewa..
 
mi ni mngoni mkuu, hawa dada zangu wana tabia zifuatazo.,1.hawana makuu na hukubali kuwa chini ya mume. 2.sio wavivu. 3.wanajali ndugu na marafk wa mume(wakarimu). 4.wanamwamin sana mume kifupi hafanyi chochote mpaka umwambie afanye. 5.wengi wao sio wasomi. 6.usitegemee kudai chochote ukiwafukuza kwako. 7.ni wamama wa nyumban,sio watu wa mishe, wanamtegemea mume. 8.chochote utakachosema/kumwamuru atatii. 9.wana ugonjwa wa kupenda, yaani wanapenda hadi inakera. 10.akiolewa urafiki na ndugu zake unapungua sana,atawapenda sana ndugu wa mume. kifupi hivyo.
 
shemeji mambooo
 
Ni ujinga kuoa au kuacha mwanamke au mwanaume kwa kabila atokalo.Tabia hazina kabila,dini,jinsi,umbo wala umri. Tabia ni binafsi.Acheni kuchafua kabila za watanzania.Kabila zote zina mchanganyiko wa watu wenye tabia tofauti.

Tama bahapo...

Mzee Tupatupa

Kweli umenena , tusihusishe tabia binafsi ya mtu na gereneralise kwa wote
 
mi ni mngoni mkuu, hawa dada zangu wana tabia zifuatazo.,1.hawana makuu na hukubali kuwa chini ya mume. 2.sio wavivu. 3.wanajali ndugu na marafk wa mume(wakarimu). 4.wanamwamin sana mume kifupi hafanyi chochote mpaka umwambie afanye. 5.wengi wao sio wasomi. 6.usitegemee kudai chochote ukiwafukuza kwako. 7.ni wamama wa nyumban,sio watu wa mishe, wanamtegemea mume. 8.chochote utakachosema/kumwamuru atatii. 9.wana ugonjwa wa kupenda, yaani wanapenda hadi inakera. 10.akiolewa urafiki na ndugu zake unapungua sana,atawapenda sana ndugu wa mume. kifupi hivyo.

Uko karibu na ukweli. Ni wanawake halisi wa kiafrika. But shake before use.
 
Anaye wajua vizuri please anisaidie, kuna binamu yangu kampata huko songea sasa kanipigia simu kuwa anataka kumleta home kumtambulisha, vipi tabia zao common?
KWA UJUMLA WANA ROHO NZURI SANA KUANZIA MBINGA MPAKA NAM 2 MBO ILA NI WANYWAJI WAZURI SANA WA POMBE,NA SIFA KUU YA MWISHO SI WACHOYO UKIMBEMBELEZA ANAKUPATIA HASA KWA HAWA WANDENDEULE,KWA UCHAWI BINT NDEMBO KAWAKOMESHA,SI WACHAWI TENA KAMA ZAMANI,NA MWISHO KABISA WAJUA KUT'ANA.:mod:
 
mi ni mngoni mkuu, hawa dada zangu wana tabia zifuatazo.,1.hawana makuu na hukubali kuwa chini ya mume. 2.sio wavivu. 3.wanajali ndugu na marafk wa mume(wakarimu). 4.wanamwamin sana mume kifupi hafanyi chochote mpaka umwambie afanye. 5.wengi wao sio wasomi. 6.usitegemee kudai chochote ukiwafukuza kwako. 7.ni wamama wa nyumban,sio watu wa mishe, wanamtegemea mume. 8.chochote utakachosema/kumwamuru atatii. 9.wana ugonjwa wa kupenda, yaani wanapenda hadi inakera. 10.akiolewa urafiki na ndugu zake unapungua sana,atawapenda sana ndugu wa mume. kifupi hivyo.

Namba 5 na 7 utata, hujishughulisha na wapo waliosoma japo ni wachache,reference mke wangu na shemeji zangu(ni wangoni)
 
Back
Top Bottom