Hi,
Pole na pilika pilika za siku hasa hapa tunapoelekea weekend na mvua izi zinazonyesha mda wa usiku ndo balaa!sijui sie walala nje weekend ikinyesha itakwaje..
Back to point, I stand to differ kwa leo ndugu zangu wanaume...kuna kitu nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sipati majibu...hivi hizi wowowo kubwa tunazozitama na kutokwa udenda kwa hawa wanawake hata wakikatiza mchana kweupeee zinatusaidia kitu gani kwa bedi...?? naona kuna vitu tunavishabikia lakini havina msaada wowote kwenye tendo lenyewe!
Nategemea kujua zaidi, mana kwangu mie mdada wa wastani anayekunjika kirahisi ndo huwa natamani sana.
Nawasilisha.