unbwogaboy
Member
- Jan 23, 2014
- 37
- 12
Waungwana mnikaribishe na mnipe muongozo humu jamvini mwenzenu mgeni humu. Nategemea ukarimu wenu wa hali ya juu.. Asanteni waungwana.
karibu ila usiingie kichwa kichwa
hee karibu mgeni mwenzangu mie nshaanza kuzoea
Umeona heeee, tupo wengi sanaasante kadodo kumbe wageni 2po wengi...
Unaweza ukaumizwa moyo
karibu ila usiingie kichwa kichwa
Karibu ila kuwa makin matusi hatutaki
hahahaaa, aingie na miguu
ilikuepo , ipo na itakuepobwahahahaa kazi ipo.
Krb na mm nimeanza kuzoea